Yupo Wapi Barbara wa Clouds Fm

Yupo Wapi Barbara wa Clouds Fm

Ni much know sana yule mama,
Nimependa Zuhura alivyowakosoa kiheshima,
Babie anajikuta Mmarekani na ongea yake haraka haraka yenye kelele,

Ila jamani sijawahi kuelewa dress codes za Babie, kuna siku alituvalia mblauzi mrefu, bwanga na raba nilicheka hadi machozi
[emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe nawe huelewagi vaa yake anajikuta Mama Africa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana kelele wale wamama wawili Babra na Baby hadi kero, mgeni haojiwi vizuri wanakua wanamuuliza maswali na kujijibu wao,

Hata hivyo napenda utangazaji wa Babra kuliko Baby, Baby anatabia ya kumkatisha mtu akiwa anaongea na anataka aongee yeye mwanzo mwisho, hua sipendi kua kwenye mazungumzo na watu wa dizaini yake.
Baby ujuaji mwingi kuna wakati wanajisahau ni kama wanakua wanapiga story
 
Ni much know sana yule mama,
Nimependa Zuhura alivyowakosoa kiheshima,
Babie anajikuta Mmarekani na ongea yake haraka haraka yenye kelele,

Ila jamani sijawahi kuelewa dress codes za Babie, kuna siku alituvalia mblauzi mrefu, bwanga na raba nilicheka hadi machozi
[emoji3][emoji3]nakumbuka siku ile picha ninayo
 
Kuna siku nilimuona TCRA pale,..Live anaonekana angalau mzuri kuliko akiwa kwny tv,

Kwa Watangazaji wa kike wana0jua kufanyia watu mahojiano nadhani Salama Jabar is the best!

Tatizo Clouds utani mwingi na mazoea!
Utani unazidi sana hapo nakubali hasa kipindi Cha jahaz
 
Ni much know sana yule mama,
Nimependa Zuhura alivyowakosoa kiheshima,
Babie anajikuta Mmarekani na ongea yake haraka haraka yenye kelele,

Ila jamani sijawahi kuelewa dress codes za Babie, kuna siku alituvalia mblauzi mrefu, bwanga na raba nilicheka hadi machozi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mungu ana kuona
 
Ni muda sasa toka mwaka huu uanze hasikiki kwenye kipindi cha Power Break Fast
Mwanamama huyu mwenye haiba ya kiburi na jeuiri mbele ya watangazaji wenzie hajasikika, pengine wanaojua watujuze alipo
Au ndio keshaliwa kichwa pale mjengoni
Thithi tunamjua Barbara wa ze Animals🦁
 
Daktari umefika mbali .[emoji3]
Ila ukweli na mimi ananichekesha sana [emoji85]
Kwenye ile namba yao kila siku natuma meseji wanialike wananipa ahadi tu ila siku wakinialika nataka nikawaeleze kuwa wanazingua japo kipindi kingekuwa kizuri kama wangeacha utoto wao .
Hahahaha nakuombea wakualike utusaidie kufikisha maduku duku yetu
 
Siku ukiona kuna mgeni anawapopoa alafu watamtimua kwenye kipindi basi usijiulize nitakuwa mimi maana najua kwa nilivyojipanga lazima wamuite Aly kashimiri na Haris wanitoe nje .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aminia kikubwa ujumbe utakua umewafikia na ukitaka ulinzi niite [emoji123]
 
Back
Top Bottom