glass amo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,645
- 4,330
[emoji23][emoji23][emoji23]hahahahahaha, anakaa kwenye ncha ya sofa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]hahahahahaha, anakaa kwenye ncha ya sofa
Hamis Tambwe?😆😆Bora umesema[emoji28]
Yaani wanapata wageni wakubwa lkn “poor interview”
Imagine anakuja mbunge,waziri au mkuu wa vyombo vya usalama badala wajenge maswali yenye hoja wanaishia kuropoka na kuuliza kwa makelele bila hoja yeyote
Huwezi kabs fananisha na watangazaji mahiri kama Gerald Hando,Masoud Kipanya,Millard Ayo,Hamis Tambwe na wengine ambao ukisikiza interview unaenjoy
Huyu ungepataga Bahati yakumsikiliza Enzi hizo za Kina Fredwaa na Hando ungewaonea huruma, kama kunamtu kanyanyaswa na Barbara basi ni Mbwiga wa mbwigukeKiburi kivip mkuu huwa anawazingua wenzake sana au?
[emoji3][emoji3]kabisaaHapana kwa kweli atafute tu dizaina kama vipi [emoji23]
Mkuu Pm please , mbona hivyo? nitakufunua hata wewe ukiendelea kunianika .Basi tuonyeshe wewe ni wapi zile Trilion 1.5 zilipokwenda na response ya Mzee aliposikia huo upotevu ilikuwaje.
Muda wa kipindi hautoshi ndo maana huwa wanaongea kama wanakimbizwa, labda muda wa kipindi uongezwe at least kianze saa mojaNdio,
Kuna siku walimualika Bi Patricia Hillary nikafurahi kumuona, kwa ujuaji wao tukakosa kusikia mengi kutoka kwa mkongwe yule, wanauliza maswali kabla hajajibu wamejibu ikabidi Mama wa watu awe mpole tu, maana yeye anaongea taratibu wao wanaongea kama cherehani
Hivi uliona alichovaa kwenye miaka 2 ya samia mlimani city 😂😂Ni much know sana yule mama,
Nimependa Zuhura alivyowakosoa kiheshima,
Babie anajikuta Mmarekani na ongea yake haraka haraka yenye kelele,
Ila jamani sijawahi kuelewa dress codes za Babie, kuna siku alituvalia mblauzi mrefu, bwanga na raba nilicheka hadi machozi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi uliona alichovaa kwenye miaka 2 ya samia mlimani city [emoji23][emoji23]
Yupo mkuu baada ya ndoa week tu alirudi mjengoni nakumbuka alipo rudi mchovu alimzingua sana kwa utani mwingi.Yule Aliyolewa Na Hassan Abas Hatangazi Tena Sasa Hivi Kalala Nayo
Aisee! Nilidhani ni mimi tu ndio nilikuwa najenga picha ya bonge mmoja la mtoto, kumbe sio peke yangu!Mara ya kwanza kumsikia huyu Dada ni kwenye ile ngoma ya Mwana FA.. 'unanitega'... Alipewa ka autro kule mwishoni..
Aisee nijua ni bonge la mtoto.. loh! Contrary..
Honestly, Salama is the Best.Kuna siku nilimuona TCRA pale,..Live anaonekana angalau mzuri kuliko akiwa kwny tv,
Kwa Watangazaji wa kike wana0jua kufanyia watu mahojiano nadhani Salama Jabar is the best!
Tatizo Clouds utani mwingi na mazoea!
Aisee bora umesema..sidhan kama ana nguo ya kueleweka..zote sijui sagula sagula za wapi...nakumbuka na mm nimeewah muona na pigo hizo...aarggg...amuige yule sister wa tbc somebody MrambaNi much know sana yule mama,
Nimependa Zuhura alivyowakosoa kiheshima,
Babie anajikuta Mmarekani na ongea yake haraka haraka yenye kelele,
Ila jamani sijawahi kuelewa dress codes za Babie, kuna siku alituvalia mblauzi mrefu, bwanga na raba nilicheka hadi machozi
Acha tu, wakati anakaribishwa kwenda pale mbele niliziba uso kwa aibu, yaan nguo kavaa yeye aibu naona mimi, ule mgauni sijui aliutoa wapi na bwanga lake na buti [emoji119]Hivi uliona alichovaa kwenye miaka 2 ya samia mlimani city [emoji23][emoji23]
Zile sagula za Ilala sokoni bila shaka [emoji23]Aisee bora umesema..sidhan kama ana nguo ya kueleweka..zote sijui sagula sagula za wapi...nakumbuka na mm nimeewah muona na pigo hizo...aarggg...amuige yule sister wa tbc somebody Mramba
Hana habari🙌🤣Zile sagula za Ilala sokoni bila shaka [emoji23]
Ni kama vile amejisusa yeye ana deal na vilemba tu
Inabid atafute mtu amdizainie mavaziAcha tu, wakati anakaribishwa kwenda pale mbele niliziba uso kwa aibu, yaan nguo kavaa yeye aibu naona mimi, ule mgauni sijui aliutoa wapi na bwanga lake na buti [emoji119]
Aisee..Wana kelele wale wamama wawili Babra na Baby hadi kero, mgeni haojiwi vizuri wanakua wanamuuliza maswali na kujijibu wao,
Hata hivyo napenda utangazaji wa Babra kuliko Baby, Baby anatabia ya kumkatisha mtu akiwa anaongea na anataka aongee yeye mwanzo mwisho, hua sipendi kua kwenye mazungumzo na watu wa dizaini yake.
🤣🤣Ndio,
Kuna siku walimualika Bi Patricia Hillary nikafurahi kumuona, kwa ujuaji wao tukakosa kusikia mengi kutoka kwa mkongwe yule, wanauliza maswali kabla hajajibu wamejibu ikabidi Mama wa watu awe mpole tu, maana yeye anaongea taratibu wao wanaongea kama cherehani
AH wapi kote huko ya kazi.gani? Nguo za uturuki zimejaa mjini...hajiweki expensiveInabid atafute mtu amdizainie mavazi