Yupo Wapi Barbara wa Clouds Fm

Yupo Wapi Barbara wa Clouds Fm

Bora umesema[emoji28]

Yaani wanapata wageni wakubwa lkn “poor interview”

Imagine anakuja mbunge,waziri au mkuu wa vyombo vya usalama badala wajenge maswali yenye hoja wanaishia kuropoka na kuuliza kwa makelele bila hoja yeyote

Huwezi kabs fananisha na watangazaji mahiri kama Gerald Hando,Masoud Kipanya,Millard Ayo,Hamis Tambwe na wengine ambao ukisikiza interview unaenjoy
Hamis Tambwe?😆😆
 
Ndio,
Kuna siku walimualika Bi Patricia Hillary nikafurahi kumuona, kwa ujuaji wao tukakosa kusikia mengi kutoka kwa mkongwe yule, wanauliza maswali kabla hajajibu wamejibu ikabidi Mama wa watu awe mpole tu, maana yeye anaongea taratibu wao wanaongea kama cherehani
Muda wa kipindi hautoshi ndo maana huwa wanaongea kama wanakimbizwa, labda muda wa kipindi uongezwe at least kianze saa moja
 
Ni much know sana yule mama,
Nimependa Zuhura alivyowakosoa kiheshima,
Babie anajikuta Mmarekani na ongea yake haraka haraka yenye kelele,

Ila jamani sijawahi kuelewa dress codes za Babie, kuna siku alituvalia mblauzi mrefu, bwanga na raba nilicheka hadi machozi
Hivi uliona alichovaa kwenye miaka 2 ya samia mlimani city 😂😂
 
Mara ya kwanza kumsikia huyu Dada ni kwenye ile ngoma ya Mwana FA.. 'unanitega'... Alipewa ka autro kule mwishoni..

Aisee nijua ni bonge la mtoto.. loh! Contrary..
Aisee! Nilidhani ni mimi tu ndio nilikuwa najenga picha ya bonge mmoja la mtoto, kumbe sio peke yangu!
 
Kuna siku nilimuona TCRA pale,..Live anaonekana angalau mzuri kuliko akiwa kwny tv,

Kwa Watangazaji wa kike wana0jua kufanyia watu mahojiano nadhani Salama Jabar is the best!

Tatizo Clouds utani mwingi na mazoea!
Honestly, Salama is the Best.
 
Ni much know sana yule mama,
Nimependa Zuhura alivyowakosoa kiheshima,
Babie anajikuta Mmarekani na ongea yake haraka haraka yenye kelele,

Ila jamani sijawahi kuelewa dress codes za Babie, kuna siku alituvalia mblauzi mrefu, bwanga na raba nilicheka hadi machozi
Aisee bora umesema..sidhan kama ana nguo ya kueleweka..zote sijui sagula sagula za wapi...nakumbuka na mm nimeewah muona na pigo hizo...aarggg...amuige yule sister wa tbc somebody Mramba
 
Wana kelele wale wamama wawili Babra na Baby hadi kero, mgeni haojiwi vizuri wanakua wanamuuliza maswali na kujijibu wao,

Hata hivyo napenda utangazaji wa Babra kuliko Baby, Baby anatabia ya kumkatisha mtu akiwa anaongea na anataka aongee yeye mwanzo mwisho, hua sipendi kua kwenye mazungumzo na watu wa dizaini yake.
Aisee..
 
Ndio,
Kuna siku walimualika Bi Patricia Hillary nikafurahi kumuona, kwa ujuaji wao tukakosa kusikia mengi kutoka kwa mkongwe yule, wanauliza maswali kabla hajajibu wamejibu ikabidi Mama wa watu awe mpole tu, maana yeye anaongea taratibu wao wanaongea kama cherehani
🤣🤣
 
Back
Top Bottom