Namuonaga sana fb ni friend wangu https://www.facebook.com/beatrice.muhone?fref=ts sehemu anazopigia mapicha zinaonekana nzuri nzuri sijui nani kamficha hapa mjini. Nadhani wafukunyuzi wa mambo wakina warumi wanaweza wakawa na nyeti zake huyu
Ni Upendo kilahiro sio shusho
Yani mkuu, nadhan mawazo yetu yamegongana, yaani leo hii nilitaka kuanzisha thread kuhusu huyu bidada , yan nilitak kuuliza kama wewe.
Huyu bhana nasikia yupo arusha kama sikosei, na miaka ya nyuma aliandamwa sana na scandal chafu za kutoka na vigogo wa serikalini akiwemo lowasa, kubwa kuliko kuliko ni ile scandal yake ya kuathirika na ukimwi , ilimmaliza sana na kumsababishia migogoro na mume wake pamoja na familia, tokea apo akaacha kuimba muziki wa injili kwa kukwepa aibu na fedheha, naona hii tena imejitokeza kwa florah mbasha.
Beatrice alikuwaga ni muhuni sana, kuna sehemu alikuwa anafanya kazi kule njiro kwenye studio ya mambo ya injili, alitafuna wafanyakaz karibia wote, hali iliyosababishwa afukuzwe kazi, beatrice alikuwa muhuni sana, maana mtoto mwenyewe kaumbika hatar, haswa jicho lake lile, sasa ivi sijui atakuwa wapi maana mda sijamsikia
Hii ndoo nasikia kwako
Alikuwa anamdharau mume wake na kumuona kama takataka hadi mumewe akapoteza mvuto kabisa akakonda vibaya sana.
walitoa albamu ay pamoja ile ya kwanza yenye nyimbo za tenzi,siikumbuki jina la albamu ila ilivuma sana,mdada akasepa na mauzo na kujifanya albamu ni yake peke yake,wakati aliyenogesha albamu hasa alikuwa ni upendo kilahiro,baada ya hapo hakutoa tena albam iliyohiti,walikua wana ugomvi wa nini?
Huyu Beatrice alikuwa na tatizo na mumewe. Mumewe alikuwa mlevi kupindukia na yeye muhone alikuwa bize kutega wachungaji na maaskofu kwa mavazi yake pindi awapo kanisani, kwa kiasi flani alifanikiwa kuliharibu kanisa. Shetani ni mbaya sana.