Yupo wapi Betrice Muhone

Yupo wapi Betrice Muhone

bucho

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2010
Posts
5,149
Reaction score
3,209
Yupo wapi mwanamuziki wa injili machachari Beatrice Muhone? Sijamsikia long tym
 
10300629_583307608456363_5752637068853561011_n.jpg
 
Namuonaga sana fb ni friend wangu https://www.facebook.com/beatrice.muhone?fref=ts sehemu anazopigia mapicha zinaonekana nzuri nzuri sijui nani kamficha hapa mjini. Nadhani wafukunyuzi wa mambo wakina warumi wanaweza wakawa na nyeti zake huyu

Yani mkuu, nadhan mawazo yetu yamegongana, yaani leo hii nilitaka kuanzisha thread kuhusu huyu bidada , yan nilitak kuuliza kama wewe.

Huyu bhana nasikia yupo arusha kama sikosei, na miaka ya nyuma aliandamwa sana na scandal chafu za kutoka na vigogo wa serikalini akiwemo lowasa, kubwa kuliko kuliko ni ile scandal yake ya kuathirika na ukimwi , ilimmaliza sana na kumsababishia migogoro na mume wake pamoja na familia, tokea apo akaacha kuimba muziki wa injili kwa kukwepa aibu na fedheha, naona hii tena imejitokeza kwa florah mbasha.

Beatrice alikuwaga ni muhuni sana, kuna sehemu alikuwa anafanya kazi kule njiro kwenye studio ya mambo ya injili, alitafuna wafanyakaz karibia wote, hali iliyosababishwa afukuzwe kazi, beatrice alikuwa muhuni sana, maana mtoto mwenyewe kaumbika hatar, haswa jicho lake lile, sasa ivi sijui atakuwa wapi maana mda sijamsikia
 
Mmh. huu upepo sijui utaishia wapi... Waliojenga kwenye mwamba ndio watakaosimama tu...
 
nakumbuka ugomvi wake na mwimba injili mwenzie sijui ni shusho ama ni nani( naombeni sahihisho) walipopatanishwa na kuombewa na askofu alikataa kusamehe na nafkiri ile dhambi inammaliza
 
Ni Upendo kilahiro sio shusho
 
Yani mkuu, nadhan mawazo yetu yamegongana, yaani leo hii nilitaka kuanzisha thread kuhusu huyu bidada , yan nilitak kuuliza kama wewe.

Huyu bhana nasikia yupo arusha kama sikosei, na miaka ya nyuma aliandamwa sana na scandal chafu za kutoka na vigogo wa serikalini akiwemo lowasa, kubwa kuliko kuliko ni ile scandal yake ya kuathirika na ukimwi , ilimmaliza sana na kumsababishia migogoro na mume wake pamoja na familia, tokea apo akaacha kuimba muziki wa injili kwa kukwepa aibu na fedheha, naona hii tena imejitokeza kwa florah mbasha.

Beatrice alikuwaga ni muhuni sana, kuna sehemu alikuwa anafanya kazi kule njiro kwenye studio ya mambo ya injili, alitafuna wafanyakaz karibia wote, hali iliyosababishwa afukuzwe kazi, beatrice alikuwa muhuni sana, maana mtoto mwenyewe kaumbika hatar, haswa jicho lake lile, sasa ivi sijui atakuwa wapi maana mda sijamsikia

Hahaaa naona ushaanza kufunguka kiaina,hadi hapo nishaanza kupata picha.Ngoja tungoje wadau wengine
 
Alikuwa anamdharau mume wake na kumuona kama takataka hadi mumewe akapoteza mvuto kabisa akakonda vibaya sana.

Duh aisee hio mbaya sana aisee
 
Alikuwa anamdharau mume wake na kumuona kama takataka hadi mumewe akapoteza mvuto kabisa akakonda vibaya sana.

Na hiki ndo kilisababisha nikapoteza munkari na nyimbo zake. Hivi hiyo ndoa yao bado ipo hai kweli?
 
walikua wana ugomvi wa nini?
walitoa albamu ay pamoja ile ya kwanza yenye nyimbo za tenzi,siikumbuki jina la albamu ila ilivuma sana,mdada akasepa na mauzo na kujifanya albamu ni yake peke yake,wakati aliyenogesha albamu hasa alikuwa ni upendo kilahiro,baada ya hapo hakutoa tena albam iliyohiti,
ukiangalia kwaya ya shangilieni albamu ya kwanz ile ya video nyimbo kama ''Hivi vita vimekoma'' utashangaa huyu dada alivyokuwa smat,na alikuwa na haiba ya mke wa mtu . lakini sasa ana haiba ya mwanamke wa ambiance ,jolly club au kimboka kama sio sewa bar buguruni.Pole yake Muhone muha wa watu.Hapa wimbo wa Luck dube is ''not easy'' unaapply
 
Huyu Beatrice alikuwa na tatizo na mumewe. Mumewe alikuwa mlevi kupindukia na yeye muhone alikuwa bize kutega wachungaji na maaskofu kwa mavazi yake pindi awapo kanisani, kwa kiasi flani alifanikiwa kuliharibu kanisa. Shetani ni mbaya sana.
 
Mwaga mboga tupe waliotegwa na kuingia kunaswa na mtego wa ibilisi...
 
Back
Top Bottom