ukweli halisi kuhusu Beatrice Muohone
1. Hajawahi kuachana na mume wake even for a single day. Mumewe ni mvumilivu sana sio kasuku kama mbasha. Pamoja na matatizo mengi waliyopitia ya mkewe kugongwa na wakubwa bado mumewe alimsamehe na sasa kwa sababu Beatrice amekuwa laplap hana issue ndoa itasimama zaidi.
2. Muheshimiwa aliyemgonga sana ni Rais Mtarajiwa na njii hii na mbunge wa monduli mwenye nywele nyeupe kichwani
3. Album zake zilianza kukosa mvuto zaidi baada ya kuwa kila mfadhili wake lazima amgonge. Kuna wakati alienda kurekodo kampala na mwenyeji wake akawa anamgonga, mke wa mwenyeji akaamua kumtimua baadae jamaa akawa anamtumia tiketi ya ndege anaenda kumgongea Nairobi.
4. Hajafulia kivile ana nyumba nzuri ya kuishi na gari kali sana Nissan Elegrand.
5. Anapenda kujiweka muonekana wa kimarekani nadhani ndcho pia kimechangia kumpotezea mvuto.
6. Nadhani hata yule muheshimiwa aliyekuwa namaneno mengi akawekewa sumu na sasa kanyamaza kimya baada ya kupewa wizara alishapona kwa beatrice
7. Mumewe amewahi kufanya kazi Sun=flag(mahali pa watu wa arusha kujifunzia maisha) na Kudu safaris (nadhani imekufa) na hajawahi kufanya kazi mahali popote njiro zaidi ya kuwa tax driver na sasa yuko kwenye carhire moja hivi.
8. Kwa sababu umaarufu wake umeisha nimesikia kuwa hivi punde amerudi kwaya. Hebu ngoja nilifuatilie hili nitawajulisha ingawa nimehakikishiwa kwamba video mpya wanayoandaa atakuwepo.