Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani reading this thread. You learn alot. Hii dunia ndogo sana. Ukifanya mambo ukadhani umejificha. You are dead wrong. watu wana info. mpaka basi tuu.
Masanja
Naomba kujua we ndo masanja mkandamizaji au??
Ila rose muhando kiboko wote hawamfikii
Shusho sidhani kama kweli ana mambo machafu.
Hee...!!!! Tena
ukweli halisi kuhusu Beatrice Muohone
1. Hajawahi kuachana na mume wake even for a single day. Mumewe ni mvumilivu sana sio kasuku kama mbasha. Pamoja na matatizo mengi waliyopitia ya mkewe kugongwa na wakubwa bado mumewe alimsamehe na sasa kwa sababu Beatrice amekuwa laplap hana issue ndoa itasimama zaidi.
2. Muheshimiwa aliyemgonga sana ni Rais Mtarajiwa na njii hii na mbunge wa monduli mwenye nywele nyeupe kichwani
3. Album zake zilianza kukosa mvuto zaidi baada ya kuwa kila mfadhili wake lazima amgonge. Kuna wakati alienda kurekodo kampala na mwenyeji wake akawa anamgonga, mke wa mwenyeji akaamua kumtimua baadae jamaa akawa anamtumia tiketi ya ndege anaenda kumgongea Nairobi.
4. Hajafulia kivile ana nyumba nzuri ya kuishi na gari kali sana Nissan Elegrand.
5. Anapenda kujiweka muonekana wa kimarekani nadhani ndcho pia kimechangia kumpotezea mvuto.
6. Nadhani hata yule muheshimiwa aliyekuwa namaneno mengi akawekewa sumu na sasa kanyamaza kimya baada ya kupewa wizara alishapona kwa beatrice
7. Mumewe amewahi kufanya kazi Sun=flag(mahali pa watu wa arusha kujifunzia maisha) na Kudu safaris (nadhani imekufa) na hajawahi kufanya kazi mahali popote njiro zaidi ya kuwa tax driver na sasa yuko kwenye carhire moja hivi.
8. Kwa sababu umaarufu wake umeisha nimesikia kuwa hivi punde amerudi kwaya. Hebu ngoja nilifuatilie hili nitawajulisha ingawa nimehakikishiwa kwamba video mpya wanayoandaa atakuwepo.
Ila kama wamerudiana ni jambo zuri, nisichoamini ni kama Beatrice karudi kwaya maana sio kwa nyodo zile....ila hata aimbe nn watu hawamtakiwhite hair alijipigia,demu mlupo sana aisee,kamtesa sana yule mumewe dereva
una ushaidoKitu ya Lowasa...
kwani alikuwa mtu wa wapi?kweli yule dada alikuwa mzuri, halafu ktk ile albam ya shangilieni aliimba vyema na kwa maringo sana. ..haswa nyimbo ya Nuhu. .''Nuhu alifanya kamavile, alivyo agizwa na Bwanaaa''Watakuwa wanapeana tu, kwan midoli ile, sena beatrice alikuwa mzur sema umalaya sasa
Umenikumbusha yule jamaa aliyeimba nae wimbo wa Nuhu full burudanikwani alikuwa mtu wa wapi?kweli yule dada alikuwa mzuri, halafu ktk ile albam ya shangilieni aliimba vyema na kwa maringo sana. ..haswa nyimbo ya Nuhu. .''Nuhu alifanya kamavile, alivyo agizwa na Bwanaaa''