Yupo wapi Betrice Muhone

kwani alikuwa mtu wa wapi?kweli yule dada alikuwa mzuri, halafu ktk ile albam ya shangilieni aliimba vyema na kwa maringo sana. ..haswa nyimbo ya Nuhu. .''Nuhu alifanya kamavile, alivyo agizwa na Bwanaaa''
ahaha duh wewe noma unaikumbuka shangilieni? yap mule aliimba poa sana full swagga na yale macho yake dah!!, na mavazi yao wenyewe ya kishamba, mule beatrice ndo kweli alikua mlokole ila tokea digital iingie akaharibika
 
HIVII ENHEEEE!
 
Lowasa na yeye?
samahan lakini.........
 
Beatrece Muhone nimemuona kwenye Album ya Shangilieni Tumaini Choir ya "NISAMEHE" ya mwaka 2014 wimbo wa mwisho ndio kaonekana. Ingawa kabandika kope so inahitaji umakini kumtambua, pia niliwahi kusikia ndoa iliwahi kuyumba ila sijui kwa sasa.
 
Heee kwenye shangilieni yule kumbe ni beatrice??!! Aisee hiyo album niliionaga siku nyingi mno
 
Hivi gospel huwa zinachuja kama taarabu au miziki ya bendi kama Twanga!?

Wasije wakasingizia gospel za nje tu!
 
Hamjamwona kwenye tangazo la maleria, la yule daktari baba mtu mzima? That lady aliyebeba mtoto ndiye beatrice mhone
 
kwani alikuwa mtu wa wapi?kweli yule dada alikuwa mzuri, halafu ktk ile albam ya shangilieni aliimba vyema na kwa maringo sana. ..haswa nyimbo ya Nuhu. .''Nuhu alifanya kamavile, alivyo agizwa na Bwanaaa''
Yani hako kasehemu alikaimba fresh n.a. ndo sehemu wengi tunaikumbuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…