Yupo wapi Betrice Muhone

Yupo wapi Betrice Muhone

kwani alikuwa mtu wa wapi?kweli yule dada alikuwa mzuri, halafu ktk ile albam ya shangilieni aliimba vyema na kwa maringo sana. ..haswa nyimbo ya Nuhu. .''Nuhu alifanya kamavile, alivyo agizwa na Bwanaaa''
ahaha duh wewe noma unaikumbuka shangilieni? yap mule aliimba poa sana full swagga na yale macho yake dah!!, na mavazi yao wenyewe ya kishamba, mule beatrice ndo kweli alikua mlokole ila tokea digital iingie akaharibika
 
Yani mkuu, nadhan mawazo yetu yamegongana, yaani leo hii nilitaka kuanzisha thread kuhusu huyu bidada , yan nilitak kuuliza kama wewe.

Huyu bhana nasikia yupo arusha kama sikosei, na miaka ya nyuma aliandamwa sana na scandal chafu za kutoka na vigogo wa serikalini akiwemo lowasa, kubwa kuliko kuliko ni ile scandal yake ya kuathirika na ukimwi , ilimmaliza sana na kumsababishia migogoro na mume wake pamoja na familia, tokea apo akaacha kuimba muziki wa injili kwa kukwepa aibu na fedheha, naona hii tena imejitokeza kwa florah mbasha.

Beatrice alikuwaga ni muhuni sana, kuna sehemu alikuwa anafanya kazi kule njiro kwenye studio ya mambo ya injili, alitafuna wafanyakaz karibia wote, hali iliyosababishwa afukuzwe kazi, beatrice alikuwa muhuni sana, maana mtoto mwenyewe kaumbika hatar, haswa jicho lake lile, sasa ivi sijui atakuwa wapi maana mda sijamsikia
HIVII ENHEEEE!
 
Beatrece Muhone nimemuona kwenye Album ya Shangilieni Tumaini Choir ya "NISAMEHE" ya mwaka 2014 wimbo wa mwisho ndio kaonekana. Ingawa kabandika kope so inahitaji umakini kumtambua, pia niliwahi kusikia ndoa iliwahi kuyumba ila sijui kwa sasa.
 
Heee kwenye shangilieni yule kumbe ni beatrice??!! Aisee hiyo album niliionaga siku nyingi mno
 
Hivi gospel huwa zinachuja kama taarabu au miziki ya bendi kama Twanga!?

Wasije wakasingizia gospel za nje tu!
 
Hamjamwona kwenye tangazo la maleria, la yule daktari baba mtu mzima? That lady aliyebeba mtoto ndiye beatrice mhone
 
kwani alikuwa mtu wa wapi?kweli yule dada alikuwa mzuri, halafu ktk ile albam ya shangilieni aliimba vyema na kwa maringo sana. ..haswa nyimbo ya Nuhu. .''Nuhu alifanya kamavile, alivyo agizwa na Bwanaaa''
Yani hako kasehemu alikaimba fresh n.a. ndo sehemu wengi tunaikumbuka
 
Back
Top Bottom