DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mshana hana tatizo na ni moja ya watu wenye hekima sana hapa Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa hana loloteMoja kati ya watu ninaowadharau hapa jf kwasababu ya uzushi,plagiarism na undumilakuwili wake.
Hana hata nauli ya kuwapeleka watu upareni sembuse chinaHivi wale wajasiliamali wadogowadogi alifanikiwa kuwapeleka China. Maana alikuwa na hiyo project humu, labda yuko huko china vijijini anatafuta fursa.
Hivi ulipotelea wapi bila shaka ulienda shule kujifunza namna ya kuandika vizuri mda utadhihirisha kama ulienda huko kujifunza au kupoteza mdaAnipe mimi
Last seen Monday at 5:39 PM
Itakuwa kweliKaingia 18 za wachawi zaidi yake wamemuweka msukule
Atakuwa Yuko China, alitangaza ofa ya kwenda na wafanyabiashara wenye mitaji midogoNi miezi takribani 2 sijaona andiko lolote kutoka kwa Mshana vipi, mwenye taarifa atugaie.
Huyu mtu tunaye au hatunaye?
Kalamba teuziNi miezi takribani 2 sijaona andiko lolote kutoka kwa Mshana vipi, mwenye taarifa atugaie.
Huyu mtu tunaye au hatunaye?
Inawezekana, na mbaya zaidi ni ile ndege aliyotumia kwenda alilipa nauli ya to & fro sasa ndege imekwama Malaysia anaisubiria itengenezwe.Atakuwa Yuko China, alitangaza ofa ya kwenda na wafanyabiashara wenye mitaji midogo
