Yupo wapi Bishanga Bashaija?

Yupo wapi Bishanga Bashaija?

alishangazaga sana alipojitangaza ni muathirika kumbe muongo


sijui lengo lake lilikuwa nini hasa, manake sikumuelewaga!



Nadhani alilipwa na gazeti la udaku ili liuzike pia umaarufu kwa wakati ule

Yeah ilikuwa 2001 hivi ndio story ilitoka kwenye gazeti la ijumaa/kiu front page kama si kweli basi usanii wa shigongo ulianza zamani sana au inawezekana ikawa kweli ameathirika ni posible kuwa na ngoma kwa zaidi ya 20yrs!!
 
kuna list ya Swebe, Nyamayao, Kibakuli, Muhogo mchungu, Bambo (sio alivyo sasa) Zembwela, Max (RIP) hiki kikosi hata hizo tamthiliya zenu za The Young & Rest less, Days of Our lives, The Bold & Beatiful, Sunset Beach n.k hazikufua dafu, ikifika wakati wa Swebe baba ndio anashika remoti, Jmosi kuamkia J2 utaipenda! Long live ITV na Mkiti wako
 
Tutafutieni huyu jamaa, . Serious.
 
yupo hapa mwenge ni fundi gereji wa kutegemewa hataki tena usharobaro infwakti
 
Back
Top Bottom