Yupo wapi Bonta Maarifa?

Jamaa yupo pande za Kahama, ni daktari huko so kuchanganya muziki na kazi nadhani imekuwa ngumu ameamua kukaza kwenye udaktari japo anagusagusa kidogo muziki, kipindi cha Uchaguzi wa Urais, Ubunge na Madiwani alichukua fomu sema walimpiga chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…