Yupo wapi Bonta Maarifa?

Yupo wapi Bonta Maarifa?

jiwe gizani

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2021
Posts
380
Reaction score
507
Huyu Mwana HipHop alitamba sana na ngoma kama Matusi, Watu Buu, Nauza Kura Yangu.

Muda sana sijamsikia kwenye gemu kwa mwenye taarifa zake wadau au ameacha mziki?
1622549248991.png

 
Jamaa yupo pande za Kahama, ni daktari huko so kuchanganya muziki na kazi nadhani imekuwa ngumu ameamua kukaza kwenye udaktari japo anagusagusa kidogo muziki, kipindi cha Uchaguzi wa Urais, Ubunge na Madiwani alichukua fomu sema walimpiga chini
 
Back
Top Bottom