shin gun wook
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 995
- 1,514
tulikunywa tulikunywaaaa,tukalewa tukalewaaa.haha uyu jamaa sijui alipotelea wapiNa yule Jamaa aloimba "masawe alikuwepo, daud alikuwepo, na huyu mtoto wa hapa nyuma nani huyu,naye alikuwepo.
Yupo wapi?
Sijuia anaitwa nani Yani,nautafuta sn wimbo huutulikunywa tulikunywaaaa,tukalewa tukalewaaa.haha uyu jamaa sijui alipotelea wapi
na nyie mlipotelea wapi .unique dadaz .rahima na wenzake HahahaAliimbaga huu wimbo na Sarah kipingu yule mtangazaji wa Capital radio kama unafahamiana naye anawezakusaidia
Wapo mwaka Jana walitambulisha wimbo wao mpya kupitia clouds Fmna nyie mlipotelea wapi .unique dadaz .rahima na wenzake Hahaha
anaitwa Fred zagandaSijuia anaitwa nani Yani,nautafuta sn wimbo huu
Kesho yake nikatoka moja kwa moja kwa rafaeli nikamkuta nyumbani anasikiliza CD ya R Keli, nikamuliza rafaeli una CD ya Makaveli akaniambia na makaveli, r keli na maria keli, sisi hatukukaa tukatoka moja kwa moja haooooo mpaka kwenye baa, unaambiwa watu walikua wamejaa nazo baiskeli na motokaa,Sijuia anaitwa nani Yani,nautafuta sn wimbo huu
Kama kuna MTU mwenye nyimbo zake aziweke hapa maana nimezitafuta hatari
aaaah kumbe bado wapo.mmoja aliolewa Japan nadhaniWapo mwaka Jana walitambulisha wimbo wao mpya kupitia clouds Fm
zamani ulikuwepo muziki ila siku hizi ni promo tu plus social networks zinakuza mambo..Enzi hizo wcb walikuwa bado wananyonya nyimbo za kiboya zinabamba disco Toto Kuku kapanda baskeli,dandu kurekod mamtoni anaonekana matawi,enzi zimebadilika siku mtoni ni km chooni tu kutwa Mara Tatu.
Vijana Wa Leo tukiwambia hakuna jipya yore yamefanyika sema ni mda tu ukiwambia hata mda ule kulikuwa kina Dada matata kulikuwepo kina sinta, Nora, Nina, kina ntambalilwe, kina tausi likokolo kina marehemu amina chifupa, enzi za bingo ITV acha tuzamani ulikuwepo muziki ila siku hizi ni promo tu plus social networks zinakuza mambo..
unazikumbuka enzi za ray c ambapo safari za nje especially china au unazikumbuka mbwembwe za Tid kwenda mbele au huujui wimbo wake wa mtanzania... unazikumbuka tambo za lady jay dee katika tuzo za kora na kolabo zake za south plus wimbo wa lugha 7 distance ambao uliwashangaza watu... unamjua muasisi wa video za mbele mnyama Ay na king mwenyewe wa crack C Pwaa ambao nominations za mbele ilikuwa kawaida.....
unamjua dada renee lamira na unamkumbuka kijana bushoke alieiweka EA kiganjani na hapo ujamuweka NICE..
kila zama na kitabu chake kwa kweli ...hao wote hawakutumia pongolo za nigeria wala international collaboz... ilikuwa pure bongo flava na inabidi uwape heshima yao
WCB ni new age thing na lazma tukubali lakini haibadili umuhimu wa watu waliopita
Sio zake Angwisa lodge ni za dada yake mkubwa lakini yeye ndo msimamizi mkuu Castor amejenga ulongoni na anaishi uko.Yupo anapiga biashara zake za Lodge, ndo mmiliki wa ANGWISA LODGE zote.. wakazi wa Ukonga nadhani wanazifahamu
Haya sasa kuna mtu mbishi humu ,hatariSio zake Angwisa lodge ni za dada yake mkubwa lakini yeye ndo msimamizi mkuu Castor amejenga ulongoni na anaishi uko.
Mwaga mistari mzee daahKesho yake nikatoka moja kwa moja kwa rafaeli nikamkuta nyumbani anasikiliza CD ya R Keli, nikamuliza rafaeli una CD ya Makaveli akaniambia na makaveli, r keli na maria keli, sisi hatukukaa tukatoka moja kwa moja haooooo mpaka kwenye baa, unaambiwa watu walikua wamejaa nazo baiskeli na motokaa,
basi tukaagiza masafa pale na kitimoto,tulianza kupata moja baridi moja moto, wakati tunaendelea kidogo tu huyooo akatokea Mzee Urassa,,na ile Land Kruza yake new model ya kisasa power engine 2.4 filling system ya kisasa unaambiwa, ni automatic kuanzia kiti hadi vitasa, basi alikua na laki 3 mfukoni, akajishika kiunoni akatuangalia akatudharau akaingiza mkono mfukoni akatoa pesa akaweka pale mezani kisha akaenda chooni, sisi basi tukaanza kulewa, tukalewa tukalewa Yesu wangu , tulilewa tulilewa tulilewa tumelewa wakaanza kuongezeka ndugu zetu kutoka sehemu mbalimbali za kilimanjaro, marangu, machame,uru,,kishimundu, kibosho, mwika vunjo, mpaka kiboroloni unaambiwa tarakea mpaka huko sehemu za rombo wote pale wakawa wamemiminika,masawe alikuepo, mariale alikuepo, shirima alikuepo, mange alikuepo, lema alikuepo, ndossi alikuepo, mtei alikuepo, asei alikuepo, mama priska alikuepo,,mama manka alikuepo, minja alikuepo, kilua alikuepo, na huyu mtoto anakaa mtaa wa pili nani huyu...chuwa, haha eti chuwa nae alikuepoMwaga mistari mzee daah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Vp ushawahi kupigwa kazi nini kwenye hizo lodges
Hii nyimbo huwa inanichekesha sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]basi tukaagiza masafa pale na kitimoto,tulianza kupata moja baridi moja moto, wakati tunaendelea kidogo tu huyooo akatokea Mzee Urassa,,na ile Land Kruza yake new model ya kisasa power engine 2.4 filling system ya kisasa unaambiwa, ni automatic kuanzia kiti hadi vitasa, basi alikua na laki 3 mfukoni, akajishika kiunoni akatuangalia akatudharau akaingiza mkono mfukoni akatoa pesa akaweka pale mezani kisha akaenda chooni, sisi basi tukaanza kulewa, tukalewa tukalewa Yesu wangu , tulilewa tulilewa tulilewa tumelewa wakaanza kuongezeka ndugu zetu kutoka sehemu mbalimbali za kilimanjaro, marangu, machame,uru,,kishimundu, kibosho, mwika vunjo, mpaka kiboroloni unaambiwa tarakea mpaka huko sehemu za rombo wote pale wakawa wamemiminika,masawe alikuepo, mariale alikuepo, shirima alikuepo, mange alikuepo, lema alikuepo, ndossi alikuepo, mtei alikuepo, asei alikuepo, mama priska alikuepo,,mama manka alikuepo, minja alikuepo, kilua alikuepo, na huyu mtoto anakaa mtaa wa pili nani huyu...chuwa, haha eti chuwa nae alikuepo