Yupo wapi CAZ-T mwana wa Komba

Yupo anapiga biashara zake za Lodge, ndo mmiliki wa ANGWISA LODGE zote.. wakazi wa Ukonga nadhani wanazifahamu
Kumbe!Niliwahi ingiza mchepuko hii kona,inayotazama makaburi ya Mombasa.
 
Huu wimbo naupataje mkuu ? Hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atajulia wapi wakati anajua mziki umeanza wakati Diamond anatoka, hawa wasanii na ma producer wa kipindi hiki wanatumia computer kufanys kila kitu ukiimba ukikosea unafuta, hawajui kupiga kinanda yaan beat zinatengenezwa simple tu, huwez nikuta nasikiliza tetema lakin sikiliza ile beat ya mwanafa alikufa kwa ngoma producer gani wa saa hiv atatengeneza hivyo vitu
 
Mashair yanachekesha sana[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji119][emoji119][emoji119]
 
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji1690][emoji1690]
 
Owner wa hizo lodges unamjua vizuri au unamjua kupitia vijiwe vya kahawa???
Mara nyingi watu wa nje ndo huwa wanajua Mali ya mtu na alipozitoa kuliko hata mwenyewe! Haya yule dada ake alikuja akakusimlia kuwa izo Mali ni zake??? Na uthibitisho akakupa
 
Huyu jamaa namfahamu kwa karibu sana ana dada yake anaitwa sophia alisoma na mama angu mdogo pale UDSM jamaa tukiwa nae ni mtu wa stori kibao utasema sio super star tena enzi zile anatamba japo kuwa alikuwa hapendi kufanya kaz za kijinga

Mfano kipind kile upo pale mombasa kuna kaz walipewa yy na wenzake kubeba kifusi cha mchanga kukiamisha kwanza nilishangaa uyu jamaa leo wanataka wqmbebeshe mchanga ukazuka mzozo wakawa wanadiscuss yy na wenzake mwisho wakakubaliana yy awasimamie vitu ili wasitegeane

Pia jamaa hapend kusifiwa na kushobokea aisee ukimletea shobo za kishamba huwa anakaa kimya haongei kitu tushamzoea anakuwa kachukia yy anataka mpihe sound km mpo kijiwen

Pia ana hotel yake inaitwa ANGWISA ipo mnadan kuna swimming pool na michezo mbali mbal pqmejengwa vzr sn ni moja ya sehemu nzur kwa kurefresh mind uzur ni kwamba watu sio weng na hapajulikan kivile basi ukikaa pale unakula raha tu na chakula ni kizur na sio gharama sn ila majuzi apa walinikera wamepandisha kiingilio kutoka 5000 mpaka 10000 shenz kabisa sijui ndio washakuwa maarufu ivo wameona wapandishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…