Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe!Niliwahi ingiza mchepuko hii kona,inayotazama makaburi ya Mombasa.Yupo anapiga biashara zake za Lodge, ndo mmiliki wa ANGWISA LODGE zote.. wakazi wa Ukonga nadhani wanazifahamu
Huu wimbo naupataje mkuu ? Hahahabasi tukaagiza masafa pale na kitimoto,tulianza kupata moja baridi moja moto, wakati tunaendelea kidogo tu huyooo akatokea Mzee Urassa,,na ile Land Kruza yake new model ya kisasa power engine 2.4 filling system ya kisasa unaambiwa, ni automatic kuanzia kiti hadi vitasa, basi alikua na laki 3 mfukoni, akajishika kiunoni akatuangalia akatudharau akaingiza mkono mfukoni akatoa pesa akaweka pale mezani kisha akaenda chooni, sisi basi tukaanza kulewa, tukalewa tukalewa Yesu wangu , tulilewa tulilewa tulilewa tumelewa wakaanza kuongezeka ndugu zetu kutoka sehemu mbalimbali za kilimanjaro, marangu, machame,uru,,kishimundu, kibosho, mwika vunjo, mpaka kiboroloni unaambiwa tarakea mpaka huko sehemu za rombo wote pale wakawa wamemiminika,masawe alikuepo, mariale alikuepo, shirima alikuepo, mange alikuepo, lema alikuepo, ndossi alikuepo, mtei alikuepo, asei alikuepo, mama priska alikuepo,,mama manka alikuepo, minja alikuepo, kilua alikuepo, na huyu mtoto anakaa mtaa wa pili nani huyu...chuwa, haha eti chuwa nae alikuepo
Atajulia wapi wakati anajua mziki umeanza wakati Diamond anatoka, hawa wasanii na ma producer wa kipindi hiki wanatumia computer kufanys kila kitu ukiimba ukikosea unafuta, hawajui kupiga kinanda yaan beat zinatengenezwa simple tu, huwez nikuta nasikiliza tetema lakin sikiliza ile beat ya mwanafa alikufa kwa ngoma producer gani wa saa hiv atatengeneza hivyo vituzamani ulikuwepo muziki ila siku hizi ni promo tu plus social networks zinakuza mambo..
unazikumbuka enzi za ray c ambapo safari za nje especially china au unazikumbuka mbwembwe za Tid kwenda mbele au huujui wimbo wake wa mtanzania... unazikumbuka tambo za lady jay dee katika tuzo za kora na kolabo zake za south plus wimbo wa lugha 7 distance ambao uliwashangaza watu... unamjua muasisi wa video za mbele mnyama Ay na king mwenyewe wa crack C Pwaa ambao nominations za mbele ilikuwa kawaida.....
unamjua dada renee lamira na unamkumbuka kijana bushoke alieiweka EA kiganjani na hapo ujamuweka NICE..
kila zama na kitabu chake kwa kweli ...hao wote hawakutumia pongolo za nigeria wala international collaboz... ilikuwa pure bongo flava na inabidi uwape heshima yao
WCB ni new age thing na lazma tukubali lakini haibadili umuhimu wa watu waliopita
Hahaa huyo jamaa alikuwa bwege sana ..2002 hiyoNa yule Jamaa aloimba "masawe alikuwepo, daud alikuwepo, na huyu mtoto wa hapa nyuma nani huyu,naye alikuwepo.
Yupo wapi?
Mashair yanachekesha sana[emoji23][emoji23]mpaka siku tunasema buriani.Ilikua jumapili nikamuona rafaeli amekaa ni juu ya nini, ni juu ya baiskeli, namuliza anaenda wapi, kanambia anaenda feli huko feli ni kwanani, ni kwa lile jitu tapeli,,asa utamuona wapi atakua kwenye meli ndio wapi ndio huko huko feli, tena nikamuona huyo huyo rafaeli anacheza na nani, anacheza na yule dada mary,,namuliza rafaeli hapa ndio feli,,anasema sio hivyo mwenzio unajua nimeharibikiwa na ile baiskeli nategemea kwenda kule ostabei nako huko ntamkuta braza Mtei yeye ndie atakayenipunguzia bei ya spea za baiskeli
Nautafuta ule wimbo wa lekambukeDuh, hili neno analipenda sana huyu jamaa maana hata kwenye wimbo wake alikuwa mahali anasema, ANGWISA!! bila shaka ni malafyale huyu.
[emoji119][emoji119][emoji119]Kesho yake nikatoka moja kwa moja kwa rafaeli nikamkuta nyumbani anasikiliza CD ya R Keli, nikamuliza rafaeli una CD ya Makaveli akaniambia na makaveli, r keli na maria keli, sisi hatukukaa tukatoka moja kwa moja haooooo mpaka kwenye baa, unaambiwa watu walikua wamejaa nazo baiskeli na motokaa,
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji1690][emoji1690]basi tukaagiza masafa pale na kitimoto,tulianza kupata moja baridi moja moto, wakati tunaendelea kidogo tu huyooo akatokea Mzee Urassa,,na ile Land Kruza yake new model ya kisasa power engine 2.4 filling system ya kisasa unaambiwa, ni automatic kuanzia kiti hadi vitasa, basi alikua na laki 3 mfukoni, akajishika kiunoni akatuangalia akatudharau akaingiza mkono mfukoni akatoa pesa akaweka pale mezani kisha akaenda chooni, sisi basi tukaanza kulewa, tukalewa tukalewa Yesu wangu , tulilewa tulilewa tulilewa tumelewa wakaanza kuongezeka ndugu zetu kutoka sehemu mbalimbali za kilimanjaro, marangu, machame,uru,,kishimundu, kibosho, mwika vunjo, mpaka kiboroloni unaambiwa tarakea mpaka huko sehemu za rombo wote pale wakawa wamemiminika,masawe alikuepo, mariale alikuepo, shirima alikuepo, mange alikuepo, lema alikuepo, ndossi alikuepo, mtei alikuepo, asei alikuepo, mama priska alikuepo,,mama manka alikuepo, minja alikuepo, kilua alikuepo, na huyu mtoto anakaa mtaa wa pili nani huyu...chuwa, haha eti chuwa nae alikuepo
Vile tu video za kipindi iko asokuwa clear Ila ni kali ile nyimboaisee yule chibonge aliyeimba nae 'Nakuhitaji' alikuwa ana lips kali kwenye ile video dadeki!
Mara nyingi watu wa nje ndo huwa wanajua Mali ya mtu na alipozitoa kuliko hata mwenyewe! Haya yule dada ake alikuja akakusimlia kuwa izo Mali ni zake??? Na uthibitisho akakupaOwner wa hizo lodges unamjua vizuri au unamjua kupitia vijiwe vya kahawa???
Huyu jamaa namfahamu kwa karibu sana ana dada yake anaitwa sophia alisoma na mama angu mdogo pale UDSM jamaa tukiwa nae ni mtu wa stori kibao utasema sio super star tena enzi zile anatamba japo kuwa alikuwa hapendi kufanya kaz za kijingaHabari zenu wadau wa burudani
Jamani Leo nimemkumbuka uyu kijana wa kingoni Caz T mwana wa komba aliyesumbua miaka ya 2000 mpaka 2002 na vibao vyake kama one more chance, sister du kapika ugali mmibichi, na funga kazi wimbo nakuitaji pamoja na ablam yake iluyokuwa na nyimbi kama tuvumiliane no
Naomba kujua alipo uyu jamaa kwa sasa Mara ya mwisho niliambiwaga baada ya mauzo ya ablam ya nakuitaji alifanikiwa kujenga maeneo ya ukonga makaburini
Naulizia kwa sababu kapotea kabisa hata kwenye interview simsikii kwenye matukio mbali mbali ya burudani nk haonekani
Yupo wapi uyu jamaa
Team kiba na diamond tuachieni nafasi kidogo najua hamuwezi mjua uyu mtu
Lekambuke nimeitafuta sana.Mwenye wimbo wake unaitwa ''lekambuke'' na ''Nakupenda" aziweke hapa
Ukiupata mkuu share nasi, nautafuta pia.Nautafuta ule wimbo wa lekambuke
Hata leo beat ya nakuhitaji inasimamaaliyetengeneza bit ya hii nyimbo aliipatia sana.haswa kwa kipindi kile
Pia ana Angwisa village iko Hali ya hewa kwenye rada Kifuru juu analiga helaYupo anapiga biashara zake za Lodge, ndo mmiliki wa ANGWISA LODGE zote.. wakazi wa Ukonga nadhani wanazifahamu