Yupo wapi Deogratias Kisandu

Hahahaha hii ilikuwa ni thread take ya mwisho then akapotea mazima
 
Yule jamaa nyuzi zake zilikuwa zinachekesha sana
 
Deo mbona amefariki mwaka juzi, tumemzika Mwanza Mkolani kwa wazee wake
Mbona JF hawana hizo taarifa? Au umeamua kumuua?
Huyu hapa alibadili jina humu Jaf na alikanusha kuwa na mpango wa kumuoa waziri yeyote

 
Kisandu uandishi wake umefanana na yule jamaa wanamuita POPOMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…