Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Lakini pia tusingekuwa na amani hii.Na yeye sijui kwa nini alitibua mpango wa wenzie bora angeacha tu hiki chama cha lumumba kisingekuwa madarakani leo hii ona sasa tulipo fika...
Huyo alikuwa mtu wa usalama alifanya kazi ya teksi driver, na hata Leo bado wapo na wengine ni shoe shiners, fundi viatu mjiniHistoria ya serikali ya nchi hii ina Mengi na Mengi hayo hatuyajui.
Kina Hanspope, Maganga, Tamimu na wengine wengi walipanga kumuua na kuipundua serikali ya Mwl Nyerere.
Inadaiwa dereva teksi aliyekuwa akiwasafarisha wapanga mapinduzi kuhudhuria vikao vyao vya Siri alibaini mpango wao na kuripoti kwa vyombo vya usalama.
Muda umeenda Sasa, huyu dereva teksi ni nani? Yupo wapi Sasa? Alilipwa nini na serikali Kama shukurani ya kuinusuru nchi?
Una umri gani?Sijawahi sikia hii kitu
Atakuwa alilipwa kitita mkuu kumjua ni kazi labda muulize Mabere Marando wa ChademaHistoria ya serikali ya nchi hii ina Mengi na Mengi hayo hatuyajui.
Kina Hanspope, Maganga, Tamimu na wengine wengi walipanga kumuua na kuipundua serikali ya Mwl Nyerere.
Inadaiwa dereva teksi aliyekuwa akiwasafarisha wapanga mapinduzi kuhudhuria vikao vyao vya Siri alibaini mpango wao na kuripoti kwa vyombo vya usalama.
Muda umeenda Sasa, huyu dereva teksi ni nani? Yupo wapi Sasa? Alilipwa nini na serikali Kama shukurani ya kuinusuru nchi?
Mkuda na snitch😆😆 umenichekesha balaaNa yeye sijui kwa nini alitibua mpango wa wenzie bora angeacha tu hiki chama cha lumumba kisingekuwa madarakani leo hii ona sasa tulipo fika...
Nina umri mkubwa tu, bahati mbaya hakuna mahala maalumu linapotajwa hili. Vile vile inawezekana kuna mtoto wa primary wa leo analijua hili, hivyo umri mkubwa haumaanishi kujua kila kituUna umri gani?
Hawakupanga kumuua!Historia ya serikali ya nchi hii ina Mengi na Mengi hayo hatuyajui.
Kina Hanspope, Maganga, Tamimu na wengine wengi walipanga kumuua na kuipundua serikali ya Mwl Nyerere.
Inadaiwa dereva teksi aliyekuwa akiwasafarisha wapanga mapinduzi kuhudhuria vikao vyao vya Siri alibaini mpango wao na kuripoti kwa vyombo vya usalama.
Muda umeenda Sasa, huyu dereva teksi ni nani? Yupo wapi Sasa? Alilipwa nini na serikali Kama shukurani ya kuinusuru nchi?
Nilishuhudia Ule Mtanange wa Tamimu pale Kinondoni Mkwajuni!Nina umri mkubwa tu, bahati mbaya hakuna mahala maalumu linapotajwa hili. Vile vile inawezekana kuna mtoto wa primary wa leo analijua hili, hivyo umri mkubwa haumaanishi kujua kila kitu
Aisee inawezekanaHuyo alikuwa mtu wa usalama alifanya kazi ya teksi driver, na hata Leo bado wapo na wengine ni shoe shiners, fundi viatu mjini
Shikamoo mhenga, ilikuwaje Mzee?Nilishuhudia Ule Mtanange wa Tamimu pale Kinondoni Mkwajuni!
Una aman wewe uliyeshibaLakini pia tusingekuwa na amani hii.
Usikute hata bandari isingeuzwa.Na yeye sijui kwa nini alitibua mpango wa wenzie bora angeacha tu hiki chama cha lumumba kisingekuwa madarakani leo hii ona sasa tulipo fika...
Field Marsha komandoo Tamimu akapigwa na Komandoo Mabere Marando mlenga shabaha long live Mabere MarandoNilishuhudia Ule Mtanange wa Tamimu pale Kinondoni Mkwajuni!
Ana maana Hilo tukio lilivuma sana miaka ya 80 mwanzoni. Kama ulikuwepo huwezi kusahau akina Rugangira na wenzakeNina umri mkubwa tu, bahati mbaya hakuna mahala maalumu linapotajwa hili. Vile vile inawezekana kuna mtoto wa primary wa leo analijua hili, hivyo umri mkubwa haumaanishi kujua kila kitu