Yupo wapi dereva teksi alyefichua njama za kumpindua Nyerere mwaka 1982? Je, alilipwa chochote kama ‘asante’?

Yupo wapi dereva teksi alyefichua njama za kumpindua Nyerere mwaka 1982? Je, alilipwa chochote kama ‘asante’?

Ukikua utaelewa once a pot always a pot
Ndio MAANA bas nyerere alitoa kauli ile kuhusu chadema kama chama makini KUMBE alikua anamaanisha kuwa kipo chini ya pot jasusi sio!!?

Ndio maana chadema ipo imara aiseh ina mizizi mirefu sana!

Nasikia hata kikwete alitishia kuwa akikatwa ataenda chadema na atashinda KUMBE alijua chadema ni kitu gani Aiseh!

Kama mambo yapo hivyo Bas nachelea kusema mnywaji Mkuu wa konyagi wa chadema sio mtu wa kawaida atakua pot huyo!!!
 
Historia ya serikali ya nchi hii ina Mengi na Mengi hayo hatuyajui.
Kina Hanspope, Maganga, Tamimu na wengine wengi walipanga kumuua na kuipundua serikali ya Mwl Nyerere.

Inadaiwa dereva teksi aliyekuwa akiwasafarisha wapanga mapinduzi kuhudhuria vikao vyao vya Siri alibaini mpango wao na kuripoti kwa vyombo vya usalama.

Muda umeenda Sasa, huyu dereva teksi ni nani? Yupo wapi Sasa? Alilipwa nini na serikali Kama shukurani ya kuinusuru nchi?
Mwenzio ndio alikuwa kazini hivyo ulitaka alipwe nini wakati ndio kazi yake
 
"pengine" pengine nikioa sitapata watoto, pengine nikisafiri nitapotea, pengine nikiajiriwa nitaishi masikini, pengine......pengine......achana na hizi pengine pengine vinginevyo tungegoma kujitawala, ona sasa yametukuta.
Kuiondoa utawala mbovu hauna maana yoyote kama anayekuja ni Yale Yale it would've been worse
 
Ingesababisha ombwe la uongozi pengine Ingekua mapinduzi Kila kukicha na isingetawalika Tena.
Kwani Edward Mondlane na Samora Machel walipouawa, Msumbiji (au FRELIMO) kulitokea ombwe la uongozi? Kwame Nkrumah alipopinduliwa, hatimaye Ghana yakafuatia mapinduzi mengine mengi, imezuia nchi hiyo kuendelea? Pengine mapinduzi Yale yangefanikiwa tusingekuwa na hiki 'kijitabu' cha 1977, ambacho ndio chanzo cha nchi kuwepo ukoloni mamboleo. Mapinduzi mengine yanaweza kuleta matokeo chanya. Ndio maana leo marehemu Jerry Rawlings anaheshimika Ghana
 
Mkuu umeandika nini hapa?
Unawezaje kujua kinachokuja?
Tunakijua tulichonacho kinachokuja ni matarajio mzee.
Tatizo unaongozwa na hofu
Mkuu hii ndio principle kwenye intelligence kwamba haondolewi mtu mpaka ijulikane ombwe litazibwa na nani?

Uganda walimtoa Amin wakapita Marais kama 10, Same to Burundi waliompindua Rwagasore wakapita Marais kibao hapo kati nao ikawa mchezo kupinduana. Na hii ni case kwa nchi nyingi tu stability ilipotea baada ya mapinduzi.

So hapa sipingi serikali kubadilika ila sio kwa mapinduzi maana ombwe linabaki wazi so inakua gombania goli
 
Unamjua atakae kuja, au ni kati ya wale wanaoamini ni wanaccm tu ndio wenye akili wanaweza kutawala.
Mapinduzi yakitokea Kila mtu anataka kuwahi fursa ndio maana JPM alivyofariki wakatamani wachukue kiti ila hawakuweza sababu katiba ndio ilikua inafuatwa ila yangekua mapinduzi ungesikia Bashiru kajitangaza Rais, mara Mabeyo naye kapindua, ghafla Samia naye anaunda jeshi la waasi inakua vurugu tupu.

So mapinduzi sio ya kushabikia hata kama tulimchoka Nyerere hali ingekua mbaya zaidi maana madaraka yangebaki bado CCM ila Kwa Wezi zaidi.
 
Ndio MAANA bas nyerere alitoa kauli ile kuhusu chadema kama chama makini KUMBE alikua anamaanisha kuwa kipo chini ya pot jasusi sio!!?

Ndio maana chadema ipo imara aiseh ina mizizi mirefu sana!

Nasikia hata kikwete alitishia kuwa akikatwa ataenda chadema na atashinda KUMBE alijua chadema ni kitu gani Aiseh!

Kama mambo yapo hivyo Bas nachelea kusema mnywaji Mkuu wa konyagi wa chadema sio mtu wa kawaida atakua pot huyo!!!
Baba wa ubatizo wa Mbowe ni Nyerere.
Mwaka 1995 Nyerere alimuombea kura Mabere, akashinda Ubunge!
2000 Nyerere angekuwa hai ccm ingepoteza!
 
Back
Top Bottom