Yupo wapi dereva teksi alyefichua njama za kumpindua Nyerere mwaka 1982? Je, alilipwa chochote kama ‘asante’?

Ndo umeeleza nini!?
 
Kwasababu kataja katumba bar,haikuwepo.
Nimekaa sana hapo mkwajuni zamani sana na mpk inafunguliwa day 1 niko pale .
Mtaa anatoka comando tamim nilikua naishi hapo jirani
Nimekupata na hata kwetu sisi tumesoma hivyo kuwa Tamimu kwao kulikuwa ni mkwajuni [emoji106][emoji120]
 
Somalia walipindua 1991 mpaka leo hawajawahi kutulia na kuwa na serikali!!!!


Libya nako ni miaka 12 leo hali ni tete....


Tusiwe shortsighted kiasi hicho
Watu wanachukulia mapinduzi kama kulala kitandani mume na mke.Kwa mwenye wazazi (watu wazima) na watoto hawezi kukaa na kufikiria hii takataka ya mapinduzi ni mbaya kuliko ubaya wenyewe.
 
1. Kwamba uwepo wa TISS CHADEMA sio sawa na TISS kuimiliki CHADEMA.

2. CUF walikua extremists in 1990s early 2000s.

Mbona hata OMO ni mtu wa system na ndio top man wa ACT? Imebadilisha chochote?
Kwenye usalama wa nchi kila mahali lazima wawezo wanausalama. Haiingii akilini kupoliticize usalama wa nchi. Sio sawa. Hata kwenye nyumba za ibada etc wanausalama ni muhimu kwa faida yetu. Ambao watu wanalalamika siku nyingi ni ile kupoliticize idara zote za serikali. Inabidi kubadilika kwenye kuendesha nchi
 
Masikini huwa hakosi sababu za kuhalalisha umaskini wake!. Una uhakika upi kuwa mabadiliko ya mfumo wa kuendesha hii nchi yangekuja na neema kwa mtu wa kawaida?.
 
Alikuwa afisa kipenyo inavyosemekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…