Haukuwepo Dar ulikuwepo kijijini ndio maana haukuwahi kusikiaMiaka ya 80 nilikuwepo. Haya yanayovuma leo wapo ambao hawajui
China, France, Russia, U.S.A,South Korea, zote hizi zilifanya mapinduzi kitaifa chako cha hovyo hakiwafikii hata roboSomalia walipindua 1991 mpaka leo hawajawahi kutulia na kuwa na serikali!!!!
Libya nako ni miaka 12 leo hali ni tete....
Tusiwe shortsighted kiasi hicho
USA ilikua chini ya colony la uingereza ila tokea wapewe uhuru kwa VITA haijawahi tokea wakapinduana.Wewe dogo ni mpumbavu sana U.S.A, France waliingia kwa kura za kwako ?
Tofautisha mapinduzi na VITA/Ukombizu sijui kwanini unachanganya mambo. Hao china ilikua Chiang Kai Shek upande mmoja na mwingine Mao Tse Tung so hakukuwa na ombwe sababu Kulikua na clear leadership kwa pande zote mbili zinazopigana. Ila mapinduzi mfano ya jeshi au ya watu wachache serikalini inaacha gap la nani anachukua madaraka ndio nachokisema hapa.Hakuna njia moja ya kuondosha tawala za kishenzi nimekupa mifano ya U.S.A, France, China, Russia kwa hiyo akili zako za kijinga unafikiri tawala ovu zinaondoshwa kwa sanduku la kura pekee ? Safari ndefu bado kama ndio vichwa vya hivi vimejaa
Tawala za kipumbavu hakuna namna ya kuzilea ukichukua madaraka kwa mapinduzi na wewe ukafanya ujinga utaondolewa tu hakuna muda wa kuvumilia uozo kama hapa eti kwa kigezo cha kuogopa revolution.USA ilikua chini ya colony la uingereza ila tokea wapewe uhuru kwa VITA haijawahi tokea wakapinduana.
Kuhusu France walimpindua mfalme Lous sio serikali iliyoingia kidemokrasia na even though 1790s ilitokea vurumai nadhani unakumbuka directorate government nchi haikutawalika mpaka pale Napoleone alipokuja kupindua Tena serikali and na yeye akajua pinduliwa ikawa chaos ufaransa, hapo Bado 1830 na 1848 kukawa na mapinduzi tena.
Namaanisha Nini? Hakuna nchi iliwahi Fanya mapinduzi kwa serikali ya kidemokrasia alafu ikatulia, ni lazima tabia itaendelea na chaos haziishi maana Kuna ombwe la uongozi linabaki.
Cha ajabu unakimbilia Ulaya unaruka nchi zenye mapinduzi kama DRC, Uganda, Burundi n.k? Nyerere angepinduliwa alikua Korea au Africa? Toa mifano ya Africa Sasa kama unajua unachosema ni sahihi.China, France, Russia, U.S.A,South Korea, zote hizi zilifanya mapinduzi kitaifa chako cha hovyo hakiwafikii hata robo
Tume huru hailetwi na CCM Bali na katiba mpya. Hiyo ndio better solution kuliko kupinduana sio sustainable.Dogo mjinga sana hiyo tume huru CCM wakuletee wewe na ukoo wako ?
Kwa hiyo wewe ukisikia neno mapinduzi unafikiri ni coup D'etat pekee.Tofautisha mapinduzi na VITA/Ukombizu sijui kwanini unachanganya mambo. Hao china ilikua Chiang Kai Shek upande mmoja na mwingine Mao Tse Tung so hakukuwa na ombwe sababu Kulikua na clear leadership kwa pande zote mbili zinazopigana. Ila mapinduzi mfano ya jeshi au ya watu wachache serikalini inaacha gap la nani anachukua madaraka ndio nachokisema hapa.
Ufaransa unayosema ilikua chaos after mapinduzi nchi haikutawalika kwa miaka 5, hata Russia wote tunafahamu vurumai iliyotokea baada ya kina Lenin kupindua nchi. Ilikua mauaji, makundi ya waasi, vurumai nchi nzima. In fact zaidi ya 20 Million people waliuawa na utawala ule wa mapinduzi.
Sasa nyie mnaochekelea mapinduzi sijui mnaona Kuna faida gani, Mimi na advocate demokrasia kupitia sauti ya wananchi kuamua nani atawaongoza na sio mtutu hakuna nchi hasa za Africa zimewahi pindua zikatulia.
Ethiopia, Egypt, Ghana, ZanzibarCha ajabu unakimbilia Ulaya unaruka nchi zenye mapinduzi kama DRC, Uganda, Burundi n.k? Nyerere angepinduliwa alikua Korea au Africa? Toa mifano ya Africa Sasa kama unajua unachosema ni sahihi.
Acha uongo hakuna maendeleo ukomunisti ulileta china, Mao mbona aliua almost 50 million people kwa njaa na ukame!!Wakomunisti
"Katiba ni kitabu tu" huyo uliye muweka kwenye picha ana thibitisha hilo yeye na chama chake au unafikiri katiba mpya unayo hitaji itashuka toka juu ?Tume huru hailetwi na CCM Bali na katiba mpya. Hiyo ndio better solution kuliko kupinduana sio sustainable.
Ile ni Chinese civil war, mapinduzi ni pale section ya watu au jeshi la kitaifa linamuondoa Rais na serikali yake Ili kuweka kiongozi mwingine.Kwa hiyo wewe ukisikia neno mapinduzi unafikiri ni coup D'etat pekee.
Unataka kusema wakomunisti hawakufanya mapinduzi kwa Kuomintang ila ilikuwa nini ?
Hayo ni maneno tu ila Kuna nchi nyingi tu kama kenya Kuna tume huru ndio maana Kila uchaguzi chama kipya kinabeba Urais."Katiba ni kitabu tu" huyo uliye muweka kwenye picha ana thibitisha hilo yeye na chama chake au unafikiri katiba mpya unayo hitaji itashuka toka juu ?
Chanzo:zisizo na ukweli wote.
(1) HATIBU GANDHI and OTHERS v REPUBLIC ( ) [1987] TZCA 18; (14 December .... https://old.tanzlii.org/tz/judgment/court-appeal-tanzania/1987/18.
(2) Tanzania coup plot uncovered - UPI Archives. https://www.upi.com/Archives/1983/01/22/Tanzania-coup-plot-uncovered/8958412059600/.
(3) Zacharia Hans Poppe: The untold story of a Kagera war veteran. https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/national/zacharia-hans-poppe-the-untold-story-of-a-kagera-war-veteran-3551376.
Nani alisema TISS haitakiwi kuwepo upinzani? Nachofahamu kitengo chochote makini lazima kiwe ahead sio sababu ya chama tawala ila kwamba hata nchi ikienda upinzani basi kuwepo regulated.Vyama vingi vya upinzani vina Wana kitengo,mnachezeshwa ngoma tu,mrema na marando walikua nccr wote,na wote usalama
Kwa hiyo Deng Xiaoping wakati anajiunga na chama cha kutoka China 1922 alijiunga na chama cha kibepari cha China na sio chama cha ukomunisti cha China ?Acha uongo hakuna maendeleo ukomunisti ulileta china, Mao mbona aliua almost 50 million people kwa njaa na ukame!!
Aliyeleta maendeleo china ni Deng Xiaoping na alitumia sera za kibepari ndio china ikafunguka mpaka leo. Au unadhani china ingeendelea bila sekta binafsi?
Asante kwa taarifa, gari jipya na cheti tu?Hatibu Gandhi, au Hatty MacGhee, alikuwa dereva teksi aliyefichua njama ya jaribio la mapinduzi ya mwaka 1982 nchini Tanzania.
Alizaliwa huko Zanzibar mwaka 1948 na alihamia Dar es Salaam mwaka 1970 ambapo alianza kufanya kazi ya uchukuzi wa umma.
Mwaka 1982, alikuwa akiwasafirisha wapanga mapinduzi kuhudhuria vikao vyao vya siri. Alisikiliza mazungumzo yao na kugundua kuwa walikuwa na mpango wa kumuua Rais Julius Nyerere na kuipindua serikali.
Alichukua hatua ya kishujaa ya kuripoti kwa vyombo vya usalama na kusaidia kuwakamata wahusika na kuzuia jaribio la mapinduzi. Kwa kutambua ujasiri wake, serikali ilimpa tuzo ya cheti cha heshima na gari jipya.
Baada ya tukio hilo, alibadili kazi na kuanzisha biashara yake mwenyewe. Alikufa mwaka 2009 akiwa na umri wa miaka 61.
Kwani wakomunisti hawakuwaondoa Republic Of China na kusimika serikali yao mpya ?Ile ni Chinese civil war, mapinduzi ni pale section ya watu au jeshi la kitaifa linamuondoa Rais na serikali yake Ili kuweka kiongozi mwingine.
Ila eti mtu ana jeshi lake la waasi anaanzisha vita that's not really a coup d'etat but a civil war or liberation war whatever you call it.
Unasema hayo ni maneno tu wakati yametamkwa na Rais na mwenyekiti wa chama kinacho ongoza nchi ?Hayo ni maneno tu ila Kuna nchi nyingi tu kama kenya Kuna tume huru ndio maana Kila uchaguzi chama kipya kinabeba Urais.
Hata Sauzi Wana tume huru pia Ghana na tumeona jinsi chaguzi ni za wazi Kila siku. Hayo yanawezekana ila siku yakitokea mapinduzi amini nakwambia Rais anaweza wekwa Chenge au Rostam na itakua Yale Yale tu.
Nitajie hapa sub Saharan Africa nchi gani ilifanya mapinduzi na yakaleta mageuzi chanya?
Nilishangaa hata Patrobas Katambi alikuwa mwenyekiti BAVICHA Taifa kumbe ni usalama. Leo hii Naibu waziri na yupo CCM. Hii nchi hii.Nani alisema TISS haitakiwi kuwepo upinzani? Nachofahamu kitengo chochote makini lazima kiwe ahead sio sababu ya chama tawala ila kwamba hata nchi ikienda upinzani basi kuwepo regulated.
Nyie ndio mnafanya TISS ionekane ni CCM ila kikawaida ni halali tu usalama kuwepo makanisani, Yanga, CHADEMA etc ku regulate usalama. Hata Mbowe anafahamu hilo na mara nyingi huwa anasema "najua mpo humu, mfikishieni mama...."