Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
- Thread starter
- #101
Hata Mimi nashangaaHalafu kajibanza kwenye vyama vya upinzani! Huyu baba huyu [emoji102]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Mimi nashangaaHalafu kajibanza kwenye vyama vya upinzani! Huyu baba huyu [emoji102]
HakunaAmani ipo...
Amani ni KUBWA nchi hii....
Hivi kuna nchi Afrika yenye amani na ubora kama yetu ?!!!
Sema kweli
Kwanini siku hizi watu wa aina hii hawatumiki?Huyo alikuwa ni Shushushu. Enzi zile walikuwa wakiendesha vile vigari vya Kirusi.... Jina nimelisau.
Muda umeenda Sasa, huyu dereva teksi ni nani? Yupo wapi Sasa? Alilipwa nini na serikali Kama shukurani ya kuinusuru nchi?
Wewe dogo ni mpumbavu sana U.S.A, France waliingia kwa kura za kwako ?USA au France Kulikua na mapinduzi ya kijeshi kwa serikali iliyowekwa kwa kura za wananchi? Interesting
Hakuna njia moja ya kuondosha tawala za kishenzi nimekupa mifano ya U.S.A, France, China, Russia kwa hiyo akili zako za kijinga unafikiri tawala ovu zinaondoshwa kwa sanduku la kura pekee ? Safari ndefu bado kama ndio vichwa vya hivi vimejaaTofautisha mapinduzi na chaguzi, tunaongelea muktadha wa Nyerere kupinduliwa sio CCM kuondolewa madarakani.
Dogo unaendelea kuonesha namna gani ulivyo mpumbavu.Mapinduzi yakitokea Kila mtu anataka kuwahi fursa ndio maana JPM alivyofariki wakatamani wachukue kiti ila hawakuweza sababu katiba ndio ilikua inafuatwa ila yangekua mapinduzi ungesikia Bashiru kajitangaza Rais, mara Mabeyo naye kapindua, ghafla Samia naye anaunda jeshi la waasi inakua vurugu tupu.
So mapinduzi sio ya kushabikia hata kama tulimchoka Nyerere hali ingekua mbaya zaidi maana madaraka yangebaki bado CCM ila Kwa Wezi zaidi.
Mbona unakwepa kutaja France, U.S.A, China, Russia ?Mkuu hii ndio principle kwenye intelligence kwamba haondolewi mtu mpaka ijulikane ombwe litazibwa na nani?
Uganda walimtoa Amin wakapita Marais kama 10, Same to Burundi waliompindua Rwagasore wakapita Marais kibao hapo kati nao ikawa mchezo kupinduana. Na hii ni case kwa nchi nyingi tu stability ilipotea baada ya mapinduzi.
So hapa sipingi serikali kubadilika ila sio kwa mapinduzi maana ombwe linabaki wazi so inakua gombania goli
.Aliitwa Mhando
JKN alidhibiti jeshi gani huyu huyu anaye shikilia record ya Rais aliye nusurika kupinduliwa mara nyingi ?Usipolidhibiti Jeshi....kwa nchi zetu za kiafrika basi ujue kila uchao ni mapinduzi tu ......
Hayati JKN anabaki kuwa kiongozi bora kuliko wote Afrika....
Siempre El Commandante JKN,amen[emoji120]
Vyama vingi vya upinzani vina Wana kitengo,mnachezeshwa ngoma tu,mrema na marando walikua nccr wote,na wote usalamaSasa mbona alihama chama huyu jasusi?
Dogo mjinga sana hiyo tume huru CCM wakuletee wewe na ukoo wako ?Ombe baada ya kifo Cha Mondlane? Ndio na kulitokea vita ya miaka mingi sana almost 15 years vita ilipelekea vifo Million 1....
Mindi you Mondlane hakupinduliwa yalikua mauaji tu, ila case ya Nyerere angepinduliwa well and good kiti angekalia nani JWTZ? TANU? Upinzani kina Kambona? Hayo ndio yangetuletea vita ya miaka nenda rudi.
Tuweke tume huru Rais aingie kwa haki ila mambo ya kupinduana sio ya kushabikia
Somalia walipindua 1991 mpaka leo hawajawahi kutulia na kuwa na serikali!!!!Na yeye sijui kwa nini alitibua mpango wa wenzie bora angeacha tu hiki chama cha lumumba kisingekuwa madarakani leo hii ona sasa tulipo fika...
2005 chadema haikua chochote,jakaya alisema ataenda cuf,yule mzee kauzu wa iringa aliyekua katibu mkuu akasema 'anayetaka kutoka CCM,akachungulie kaburi'Ndio MAANA bas nyerere alitoa kauli ile kuhusu chadema kama chama makini KUMBE alikua anamaanisha kuwa kipo chini ya pot jasusi sio!!?
Ndio maana chadema ipo imara aiseh ina mizizi mirefu sana!
Nasikia hata kikwete alitishia kuwa akikatwa ataenda chadema na atashinda KUMBE alijua chadema ni kitu gani Aiseh!
Kama mambo yapo hivyo Bas nachelea kusema mnywaji Mkuu wa konyagi wa chadema sio mtu wa kawaida atakua pot huyo!!!
Unajisi kwa tawala za kishenziMapinduzi ya kijeshi huwa ni UNAJISI katika nchi.....
Jkn hakuwa kiongozi Bora,achilia mbali kuwa kiongozi Bora afrikaUsipolidhibiti Jeshi....kwa nchi zetu za kiafrika basi ujue kila uchao ni mapinduzi tu ......
Hayati JKN anabaki kuwa kiongozi bora kuliko wote Afrika....
Siempre El Commandante JKN,amen[emoji120]
Ule haukuwa uovu wale walio fichua ndio walikuwa waovu Nyerere alipaswa kuondoshwa mapema kabisaWamakonde wa pale Msasani nao wana mchango wao mkubwa katika kufanikisha kufichua uovu huo.
Zamani Idara ilijua kuchomeka watu na wakavaa uhalisia pasipo kufichua uficho wao!
Angalia pengine unahadithia habari za mapokezi zisizo na ukweli wote. Jaribio kama hili linapotokea siyo kila kitu kinawekwa wazi. Njama zilijulikana kwa namna nyingine kabisa lakini mambo yote hayakuwekwa wazi ili kulinda mifumo ya usalama ya kukusanya habari na wahusika wake. Watch out!Hatibu Gandhi, au Hatty MacGhee, alikuwa dereva teksi aliyefichua njama ya jaribio la mapinduzi ya mwaka 1982 nchini Tanzania.
Alizaliwa huko Zanzibar mwaka 1948 na alihamia Dar es Salaam mwaka 1970 ambapo alianza kufanya kazi ya uchukuzi wa umma.
Mwaka 1982, alikuwa akiwasafirisha wapanga mapinduzi kuhudhuria vikao vyao vya siri. Alisikiliza mazungumzo yao na kugundua kuwa walikuwa na mpango wa kumuua Rais Julius Nyerere na kuipindua serikali.
Alichukua hatua ya kishujaa ya kuripoti kwa vyombo vya usalama na kusaidia kuwakamata wahusika na kuzuia jaribio la mapinduzi. Kwa kutambua ujasiri wake, serikali ilimpa tuzo ya cheti cha heshima na gari jipya.
Baada ya tukio hilo, alibadili kazi na kuanzisha biashara yake mwenyewe. Alikufa mwaka 2009 akiwa na umri wa miaka 61.
Acha kuwa nyoronyoro hujaja kulinda duniaKhalafu utakuta anayeota mapinduzi analikitambi hata kutembea mita 500 hawezi. Angalie huko Kongo mkimbizi anakimbia na kutembea mamia ya km na akiwa mbuzi na safuria mgongoni. Acha kabisa hayo mambo. Na Mungu apishie mbali.