msonobali
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 1,521
- 1,607
Lakini haki ingekuwepoLakini pia tusingekuwa na amani hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini haki ingekuwepoLakini pia tusingekuwa na amani hii.
Kuna ubaya gani mfano JWTZ kuwa na chama? Huoni ni kutengeneza safety net kuliko say chama tawala kiangushwe na radicalists kama CUF ya 1990s?Marando na mrema chama kilikua Chao kabisa,pengine chadema nayo 'yao'
Umeona cuf ya 90s ni radicalists,ndo mlivyokua mnaambiana kanisani!?.. radicalists kwa misingi gani!?..by the way hoja ilikua vyama vya upinzani ni Mali ya serikali,yaani wafuasi mnaruka mkojo manakanyaga makimbaKuna ubaya gani mfano JWTZ kuwa na chama? Huoni ni kutengeneza safety net kuliko say chama tawala kiangushwe na radicalists kama CUF ya 1990s?
Apewe majibu.Asizungushwe kwa maswali.A
Ana maana Hilo tukio lilivuma sana miaka ya 80 mwanzoni. Kama ulikuwepo huwezi kusahau akina Rugangira na wenzake
Kuwa na TISS kwenye chama ndio kuwa Mali ya serikali? The worst case ni hao TISS waliopo Chadema kuvujisha Siri za vikao kwa Samia ila zaidi ya hapo kuwa na mbea kwenye familia haifanyia familia Yako kuwa Mali ya anayepelekewa umbeya..by the way hoja ilikua vyama vya upinzani ni Mali ya serikali,yaani wafuasi mnaruka mkojo manakanyaga makimba
Mbona Kuna clip ya Lipumba msikitni akisema "alimuokoa JK 2010". Same case na ule mdahalo wa CUF vs CHADEMA 2011, CUF kupitia hamad Rashid walisema hawawezi shirikiana na Chadema maana kimekaa kikatoliki sana!!Umeona cuf ya 90s ni radicalists,ndo mlivyokua mnaambiana kanisani!?..
We ulikua bado kwenu huko nangurukulu unalima michembe uliota?Nilishuhudia Ule Mtanange wa Tamimu pale Kinondoni Mkwajuni!
Hakukua na katumba bar miaka hiyo acha uongo weweNilikuwa pale Katumba Bar napata Supu na hata ile gari la breweries lilikuwa limemaliza kushusha Bia pale 😂😂🐼
Nyerere kafa miaka mingapi mpaka leo tunatembeza mabakuli duniani?Kwani nchi zote zenye amani Nyerere alizaliwa humo?. Hata asingezaliwa Tanzania huyo nyerere, nchi hii ingekuwa imesimama ilivvyo, pengine ingekuwa bora zaidi. Inawezekana kuwepo Nyerere ktk nchi hii ndio chanzo cha matatizo yote tuliyonayo Leo. Alizima ndoto/mawazo mbadala ya akina Tuntemeke Sanga, Oscar Kambona, Edwin Mtei etc. Mawazo ya hawa wazalendo na wengineo yangepokelewa, yawezekana leo Tanzania ingekuwa mbali. Ila kwa udikteta/uroho wa madaraka wa Nyerere hawa waliishia kizuizini au kutoroka nchi.
Msumbiji unaona wana maendeleo sana kwamba unatamani ungekuwa kama wao?Kwani Edward Mondlane na Samora Machel walipouawa, Msumbiji (au FRELIMO) kulitokea ombwe la uongozi? Kwame Nkrumah alipopinduliwa, hatimaye Ghana yakafuatia mapinduzi mengine mengi, imezuia nchi hiyo kuendelea? Pengine mapinduzi Yale yangefanikiwa tusingekuwa na hiki 'kijitabu' cha 1977, ambacho ndio chanzo cha nchi kuwepo ukoloni mamboleo. Mapinduzi mengine yanaweza kuleta matokeo chanya. Ndio maana leo marehemu Jerry Rawlings anaheshimika Ghana
Hapo unalinganisha nchi za ulimwengu wa kwanza dhidi ya nchi moja masikini iliyosubiri COVID 19 itokee ikapeleka data ipewe hela za kujenga vyoo.Kwa nini hayo hayakutokea U.S.A, China, Russia, France ?
Hakika kamarada [emoji120]Ni lweli maarifa yapo kwenye maandishi. Kuna umuhimu mkubwa sana wa kuziendea maktaba.
IpoHakuna
Jisumbue kusoma.....JKN alidhibiti jeshi gani huyu huyu anaye shikilia record ya Rais aliye nusurika kupinduliwa mara nyingi ?
Exquisite [emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji7][emoji109][emoji1666][emoji120]Somalia walipindua 1991 mpaka leo hawajawahi kutulia na kuwa na serikali!!!!
Libya nako ni miaka 12 leo hali ni tete....
Tusiwe shortsighted kiasi hicho
Wewe wasema...Jkn hakuwa kiongozi Bora,achilia mbali kuwa kiongozi Bora afrika
Ukichanganyikiwa wewe ndio tuchanganyikiwe sote?!!! [emoji15][emoji15]Acha kuwa nyoronyoro hujaja kulinda dunia
Unachojibu hakiendani na remarks ya dada Maria....[emoji1787][emoji1787]China, France, Russia, U.S.A,South Korea, zote hizi zilifanya mapinduzi kitaifa chako cha hovyo hakiwafikii hata robo
Watu kutoka mara ? Hizi ni akili au matopeJisumbue kusoma.....
Baada ya jaribio la mapinduzi....aliamua kuweka watu "loyal"zaidi katika majeshi yote....
Eh! Hii mpya hii.Alikuwa tax driver tu, sema wale jamaa walikuwa wajinga, kalewa kaanza kusema siri kwenye tax. Actually aliyefikisha kwa Mahiga alikuwa Paul Sozigwa ambaye naye alikuwa mteja wa huyo dereva