Yupo wapi Dkt. Charles Kimei?

Baniani Mbaya Kiatu Chake dawa...huyu unaemsema mbovu ndio alikua analipa mishahara ya wafanyakazi wa serikali enzi za Msoga...huyu mzee angekaza mishahara watu wangepata tarehe 52 badala ya 35 waliokua wanapata...give some respect to an oldman

Hana respect. Msomi mzima pamoja na exposure unaingizwa kingi na wanasiasa
 
Kimei tangu alivyosema anamuogopa sana JPM aliharibu integrity yake kama banker nikamuona mlamba viatu tu.
Nchi yetu wasomi na wanataaluma wanajishusha sana kwa wanasiasa. Utaalamu wanaweka kando.
 
Nilikuwa nae mitaa flani hvi....

Yupo safi hana shida yoyote...
 
Ila hii ya ukabila sio afya kwa taifa. Mtu apimwe kwa uwezo wake.
 
Kila mtu anajua Wachagga Ni Janja Janja sana.. Dunia imebadilika sana, siku hizi mpaka Masai anaijua pesa.

Labda amebaki Mhadzabe, sasa siku hizi uwezo wa kula na kipofu Kama Wachagga wa zamani watu hawana. People are so sensitive when it comes to working with chaggas
 
CEO wa Benki ukishasema tu unamuogopa sana rais, unachosema hapo ni kwamba watu wenye akili wasiweke hela kwenye benki yako.

Maana, rais anaweza kuzichota wala usilalamike, kwa woga.
Kweli kabisa, hili lilikuwa kosa la kiufundi kwa mtu wa aina yake.
 

Mkenda yupo yupo tu lakini kakalia kuti kavu; ajitayalishe kurudi kufundisha anytime!! Unakumbuka alivyotukanwa hadharani mbele ya Museveni!! Kwa fedheha ile profesa MUNYAMBALA asningekubali kutukanwa hadharani angejiuzuru kutunza heshima yake ,lakini sio mchaga !!!
 
Tanzania utaratibu wa kujiuzuru kulinda heshima haujakubalika sana kwasababu ya njaa.
 
Tatizo jiwe kumkatalia ilikuwa shida na ule ukali wake. Mikopo hapo kimei anabeba lawama kwasababu ndio boss japo inawezekana yeye alikuwa anaidhinisha waliopitia wa chini yake.

Chato ni hasara kwenye sekta nyingi sana.
Huko Chattel, wapo waliokimbilia kununua maviwanja Kwa bei inflated! Wapo waliokimbilia kujenga ma guest, bila kusahau international airport!😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…