econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Kwakweli mchango wake bungeni hauonekani.
Anazidiwa na kina musukuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli mchango wake bungeni hauonekani.
Walevi wa madaraka walimdanganya atakuwa waziri wa fedha.
Suluhisho hata sasa lipo wala halitegemei uwepo wake.Huyu mheshimiwa alikuwa anatajwa kama mtaalamu sana aliyeifanikisha benki ya crdb.
Hawezi kuwa suluhisho la nyakati hizi za mfumuko wa bei?
Baniani Mbaya Kiatu Chake dawa...huyu unaemsema mbovu ndio alikua analipa mishahara ya wafanyakazi wa serikali enzi za Msoga...huyu mzee angekaza mishahara watu wangepata tarehe 52 badala ya 35 waliokua wanapata...give some respect to an oldman
CEO wa Benki ukishasema tu unamuogopa sana rais, unachosema hapo ni kwamba watu wenye akili wasiweke hela kwenye benki yako.Nchi yetu wasomi na wanataaluma wanajishusha sana kwa wanasiasa. Utaalamu wanaweka kando.
Kuwa na subira linakujaTatizo hilo suluhisho halionekani.
Ila hii ya ukabila sio afya kwa taifa. Mtu apimwe kwa uwezo wake.CCM wabaya Sana yani walimdanganya licha ya usomi wake eti watampatia uwazir wa fedha hata yeye mwenyewe alikuwa na uhakika lakini hatasahau. Kilichomwaribia jamaa ni kabila lake. Huoni hata Muro alisema hadharani anashangaa imekuwaje hadi kachaguliwa kuwa DC. Mkenda kilimo na hadi elimu kawekwa tu eti kuwe na balance.
Kila mtu anajua Wachagga Ni Janja Janja sana.. Dunia imebadilika sana, siku hizi mpaka Masai anaijua pesa.CCM wabaya Sana yani walimdanganya licha ya usomi wake eti watampatia uwazir wa fedha hata yeye mwenyewe alikuwa na uhakika lakini hatasahau. Kilichomwaribia jamaa ni kabila lake. Huoni hata Muro alisema hadharani anashangaa imekuwaje hadi kachaguliwa kuwa DC. Mkenda kilimo na hadi elimu kawekwa tu eti kuwe na balance.
Ha
Hata kwenye Kura za maoni alikuwa wa pili.
Kweli kabisa, hili lilikuwa kosa la kiufundi kwa mtu wa aina yake.CEO wa Benki ukishasema tu unamuogopa sana rais, unachosema hapo ni kwamba watu wenye akili wasiweke hela kwenye benki yako.
Maana, rais anaweza kuzichota wala usilalamike, kwa woga.
CCM wabaya Sana yani walimdanganya licha ya usomi wake eti watampatia uwazir wa fedha hata yeye mwenyewe alikuwa na uhakika lakini hatasahau. Kilichomwaribia jamaa ni kabila lake. Huoni hata Muro alisema hadharani anashangaa imekuwaje hadi kachaguliwa kuwa DC. Mkenda kilimo na hadi elimu kawekwa tu eti kuwe na balance.
Utaalamu wake unahitajika. Ukimuona tena mkumbushe achangie.
Riziwani ni wakupata uwaziri kimei akose?Kwanini mkuu?
Tanzania utaratibu wa kujiuzuru kulinda heshima haujakubalika sana kwasababu ya njaa.Mkenda yupo yupo tu lakini kakalia kuti kavu; ajitayalishe kurudi kufundisha anytime!! Unakumbuka alivyotukanwa hadharani mbele ya Museveni!! Kwa fedheha ile profesa MUNYAMBALA asningekubali kutukanwa hadharani angejiuzuru kutunza heshima yake ,lakini sio mchaga !!!
Huko Chattel, wapo waliokimbilia kununua maviwanja Kwa bei inflated! Wapo waliokimbilia kujenga ma guest, bila kusahau international airport!😆Tatizo jiwe kumkatalia ilikuwa shida na ule ukali wake. Mikopo hapo kimei anabeba lawama kwasababu ndio boss japo inawezekana yeye alikuwa anaidhinisha waliopitia wa chini yake.
Chato ni hasara kwenye sekta nyingi sana.