Yupo wapi Dkt. Charles Kimei?

Yupo wapi Dkt. Charles Kimei?

Huko Chattel, wapo waliokimbilia kununua maviwanja Kwa bei inflated! Wapo waliokimbilia kujenga ma guest, bila kusahau international airport!😆
Wanaugulia kimyakimya. Nahisi ndio hawa wanataka chato iwe mkoa waokoe gharama.
 
Hana jipya kwani hata hiyo CRDB ameondoka ameacha mikopo chefuchefu ya matrilioni ya hela aliyowakopesha wahindi na yeye akakomba 10% yake!! Hawa ndio walikuwa mafisadi wa Jiwe; akamjengea tawi la benki ambalo baada ya klfo chake ilibidi lifungwe kwa kukosa biashara na sasa limekuwa klabu huko Chattle!!! Watu wenye tabia ya uchawa ni hatari kwa maendeleo ya nchi.

Muacheni akae huko kwao Moshi na uBunge wake wa kuhongwa na Jiwe!
Una uhakika CRDB imefungwa na imekua club au umakariri upumbavu wa Twitter?
 
Usisahau kilichomkimbiza ni pamoja na kashfa ya CRDB na TPA Ile kesi ya pesa kuidhinishwa kama imeingia BANK na mizigo kibao ikatoka bandarini, na baadae fedha hazikufika TPA
Hii sikuwahi kuisikia.
 
Hakika magufuli aliwashika wengi sana yaani mwaka ssa ila watoto walopokaji hawaishi kumtaja nyie endelea na ngojera zenu za ANAUPIGA MWINGI MPIGWE MAANA VICHAKA VYENU ETI KATIBA MPYA HATA IJE KATIBA GANI MNAPIGWA TU HII NDIO BONGO ZOZO
 
Huyu ndio alikuwa chombo kilichotumiwa na makampuni ya kifisadi kuiba fedha toka BOT enzi ya Kikwete!!! Unataka tumpe respect mshirika wa kufisadi nchi yetu? Common be serious! If anything he is a criminal who should be in jail.
Common or come on? Uchapiaji.
 
Kesi waliangushiwa wenye makampuni ya kutoa mizigo bandarini, lakini kiuhalisia haiwezekani mizigo kutoka bila malipo kusoma kwenye system ya TPA na wahusika wa mpango mzima ni CRDB
Sasa hii mwisho wake ilikuwaje maana ni kubwa?
 
Hakika magufuli aliwashika wengi sana yaani mwaka ssa ila watoto walopokaji hawaishi kumtaja nyie endelea na ngojera zenu za ANAUPIGA MWINGI MPIGWE MAANA VICHAKA VYENU ETI KATIBA MPYA HATA IJE KATIBA GANI MNAPIGWA TU HII NDIO BONGO ZOZO
Utakuwa umechanganya mafaili. Hapa hajaongelewa magufuli
 
Huyu ndio alikuwa chombo kilichotumiwa na makampuni ya kifisadi kuiba fedha toka BOT enzi ya Kikwete!!! Unataka tumpe respect mshirika wa kufisadi nchi yetu? Common be serious! If anything he is a criminal who should be in jail.
Would you care kuweka ushahidi hapa?
 
Kimei ni mzee na mlevi tu. Wizi alifanya zamani, kwa sasa ameshajichokea vibaya, hakuna mtu ana muda naye na yeye kaamua kupiga kimya huku akigonga pombe na kiti moto kwa kwenda mbele.

CCM na wazee wa kichaga waliochoka wapi na wapi?
 
Back
Top Bottom