BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
Namuona insta, jamaa handsome ila mke wake jaman sura kama kameza panya buku
Ha ha ha ha maskini kaka wa watu leo atakuwa anamcheki mke wake mara mbili mbilianatumia edd_mhina
keshaweka private account yake. itakua kasoma comment ya binamu lol
Aisee.... Ahsanteeee sana. I feel good beyond imagination. Those gold old days dahHiyo ilikuwa radio One checki Video ya huo wimbo hapa ↓
Aaah binamu nn? Si mlikua mnasema nimefulia sasa nimerudi, kama una mbavu mbili inanidi ukazi upgrade maana this time ni fireeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mungu anakuona binamu!
[emoji126] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakuona katika ubora wako!!Aaah binamu nn? Si mlikua mnasema nimefulia sasa nimerudi, kama una mbavu mbili inanidi ukazi upgrade maana this time ni fireeee
My hyo mwenzangu sas hv atakua kikongwe, hyo wimbi inanikumbusha mbaliii, enz inzoHuyu Mtoto wa enzi hizo bado anaimba? na yuko wapi?
Aaah kwa nn binamu? Ila mwenzangu mke wake hapana jaman, anaonekana mkubwa halafu reception Hamna kitu mmh ila mapenzi haya sijui kapenda nnkwakweli...
warumi kanichekesha jamani
Nilihudhuria mapa reception ya harusi yao Kunduchi, ka dada kamoja decent hivi, black beauty.Aaah kwa nn binamu? Ila mwenzangu mke wake hapana jaman, anaonekana mkubwa halafu reception Hamna kitu mmh ila mapenzi haya sijui kapenda nn
Aaah wee kaweka private?? Halafu nimemfollow naona akinijua ataniblock kabisa, aaah kwan mke wake binamu humjui?? Mmh jaman tuseme ukweli tu pale kaka mkubwa alibugi jamananatumia edd_mhina
keshaweka private account yake. itakua kasoma comment ya binamu lol
Kama 2009 alikuwa kaoa, Ina maana kaoa mdogo sana.Yuko NBC alisha oa na sasa ni baba wa familia, hataki skendo huyu dogo katulia sana, alioa mapema nadhani ni miaka 9 or 8 sasayuko kwenye ndoa.,
Binamu mke wake unamjua?? Yan huwez amin, utadhan mama ake mdogo, mweusi kama magufuli uson sasa utadhan mugabeHa ha ha ha maskini kaka wa watu leo atakuwa anamcheki mke wake mara mbili mbili
Mmh binamu jaman c kwa u beauty ule ngoja niwaletee picha yskeNilihudhuria mapa reception ya harusi yao Kunduchi, ka dada kamoja decent hivi, black beauty.
Hahaha binamu ila ninasikia mtoto kwao pesa imetulia binamu, toto la kisure.😡😡Mmh binamu jaman c kwa u beauty ule ngoja niwaletee picha yske
Mwenzangu binamu bora umeliona, ebu tupige umbea vzur, looh sio kwa sura ile jaman halafu anaonekana mkubwa, huyo Eddy na uzur wote ule jaman kaenda kuoa jimama mwee sijui dawa jaman, looh hapana, lazima tuvunje ndoa yake binamu akaoe kabint kazuri zur, ntaandaa kampen jaman, hapana kwa kwelKama 2009 alikuwa kaoa, Ina maana kaoa mdogo sana.
Mkewe nahisi ni wa huko nchi za vita na kujitoa mhanga.
Afu mkewe mkubwa mbona?
Au amefanyiziwa dawa amuoe?
Walikutana chuoni na mke wake na walifunga ndoa moja kwa moja.Kama 2009 alikuwa kaoa, Ina maana kaoa mdogo sana.
Mkewe nahisi ni wa huko nchi za vita na kujitoa mhanga.
Afu mkewe mkubwa mbona?
Au amefanyiziwa dawa amuoe?
Ninamjua huyo dada, si mbaya tena anarangi adimu ya mwafrika, ni Mganda asili yake.
Itakuwa upo ukoo mmoja na huyo dada.Nilihudhuria mapa reception ya harusi yao Kunduchi, ka dada kamoja decent hivi, black beauty.
Picha basi jamani umbea unogeMwenzangu binamu bora umeliona, ebu tupige umbea vzur, looh sio kwa sura ile jaman halafu anaonekana mkubwa, huyo Eddy na uzur wote ule jaman kaenda kuoa jimama mwee sijui dawa jaman, looh hapana, lazima tuvunje ndoa yake binamu akaoe kabint kazuri zur, ntaandaa kampen jaman, hapana kwa kwel