Yupo wapi Eddy Sultan?

Yupo wapi Eddy Sultan?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mungu anakuona binamu!
Aaah binamu nn? Si mlikua mnasema nimefulia sasa nimerudi, kama una mbavu mbili inanidi ukazi upgrade maana this time ni fireeee
 
Aaah binamu nn? Si mlikua mnasema nimefulia sasa nimerudi, kama una mbavu mbili inanidi ukazi upgrade maana this time ni fireeee
[emoji126] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakuona katika ubora wako!!
 
Aaah kwa nn binamu? Ila mwenzangu mke wake hapana jaman, anaonekana mkubwa halafu reception Hamna kitu mmh ila mapenzi haya sijui kapenda nn
Nilihudhuria mapa reception ya harusi yao Kunduchi, ka dada kamoja decent hivi, black beauty.
 
anatumia edd_mhina
keshaweka private account yake. itakua kasoma comment ya binamu lol
Aaah wee kaweka private?? Halafu nimemfollow naona akinijua ataniblock kabisa, aaah kwan mke wake binamu humjui?? Mmh jaman tuseme ukweli tu pale kaka mkubwa alibugi jaman
 
Yuko NBC alisha oa na sasa ni baba wa familia, hataki skendo huyu dogo katulia sana, alioa mapema nadhani ni miaka 9 or 8 sasayuko kwenye ndoa.,
Kama 2009 alikuwa kaoa, Ina maana kaoa mdogo sana.
Mkewe nahisi ni wa huko nchi za vita na kujitoa mhanga.
Afu mkewe mkubwa mbona?
Au amefanyiziwa dawa amuoe?
 
Tupia basi ka picha tuone jinsi anavyomeza panya maana nakuaminia warumi.
 
Hahaha warumi umbea wako utakuwa haujakamilika kama hautatuletea picha ya mke wa eddy
 
Kama 2009 alikuwa kaoa, Ina maana kaoa mdogo sana.
Mkewe nahisi ni wa huko nchi za vita na kujitoa mhanga.
Afu mkewe mkubwa mbona?
Au amefanyiziwa dawa amuoe?
Mwenzangu binamu bora umeliona, ebu tupige umbea vzur, looh sio kwa sura ile jaman halafu anaonekana mkubwa, huyo Eddy na uzur wote ule jaman kaenda kuoa jimama mwee sijui dawa jaman, looh hapana, lazima tuvunje ndoa yake binamu akaoe kabint kazuri zur, ntaandaa kampen jaman, hapana kwa kwel
 
Kama 2009 alikuwa kaoa, Ina maana kaoa mdogo sana.
Mkewe nahisi ni wa huko nchi za vita na kujitoa mhanga.
Afu mkewe mkubwa mbona?
Au amefanyiziwa dawa amuoe?
Walikutana chuoni na mke wake na walifunga ndoa moja kwa moja.
 
Mwenzangu binamu bora umeliona, ebu tupige umbea vzur, looh sio kwa sura ile jaman halafu anaonekana mkubwa, huyo Eddy na uzur wote ule jaman kaenda kuoa jimama mwee sijui dawa jaman, looh hapana, lazima tuvunje ndoa yake binamu akaoe kabint kazuri zur, ntaandaa kampen jaman, hapana kwa kwel
Picha basi jamani umbea unoge
 
Back
Top Bottom