Eddy Itakuwa kalishwa limbwata na huyo mdada ili amuoe kwa nguvu.Mwenzangu binamu bora umeliona, ebu tupige umbea vzur, looh sio kwa sura ile jaman halafu anaonekana mkubwa, huyo Eddy na uzur wote ule jaman kaenda kuoa jimama mwee sijui dawa jaman, looh hapana, lazima tuvunje ndoa yake binamu akaoe kabint kazuri zur, ntaandaa kampen jaman, hapana kwa kwel
Labda nimemzoea ninamuona wa kawaida.Itakuwa upo ukoo mmoja na huyo dada.
Ila uzuri wa mtu uko machoni mwa mtazamaji
Ndio, Eddy alikuwa mwanafunzi na mkewe alikuwa mkufunzi.Walikutana chuoni na mke wake na walifunga ndoa moja kwa moja.
Aaah binamu sisi mapacha hakyanani, yan nilitak kusema hvyo hvyo, yan kafanana na Yule Dada wa open kitchen, aaah nimekupenda bure, mmh Eddy Yule kalishwa limbwata jaman, sio kwa mke yule, ebu tufanye mpango tumtoe kaka etu bhana,Eddy Itakuwa kalishwa limbwata na huyo mdada ili amuoe kwa nguvu.
Maana sura yake kama ana udugu na Open Kitchen.
Na kile kipini ndo kaharibu.
Au kafata LIVE IT!! LOVE IT!!?
Maana huko nao hawajambo, shikamoo marahaba.
Yaah na baada ya hapo mke wake alikwenda London kufanya Masters, walikwenda wote na Eddy alifanya undergrad.Ndio, Eddy alikuwa mwanafunzi na mkewe alikuwa mkufunzi.
Mwalimu kaolewa na mwanafunzi wake
Labda.Labda nimemzoea ninamuona wa kawaida.
Afu mbona mtoto wake hajafanana na mama?Aaah binamu sisi mapacha hakyanani, yan nilitak kusema hvyo hvyo, yan kafanana na Yule Dada wa open kitchen, aaah nimekupenda bure, mmh Eddy Yule kalishwa limbwata jaman, sio kwa mke yule, ebu tufanye mpango tumtoe kaka etu bhana, yule jinamiz sio mke
Sasa ulikuwa unakataa nini?Yaah na baada ya hapo mke wake alikwenda London kufanya Masters, walikwenda wote na Eddy alifanya undergrad.
Inawezekana ni kweli, za chini ya capert ninasikia mama mkwe pia hakutegemea mkwe yule, alitegemea atakuwa toto moja la kimanga kwa uhandsome ule wa mwanaeπππLabda.
Ila sie wadada tuna kasumba moja.
Mwanamke akiwa mweusi tunamuona mbaya.
Tumemezeshwa na mkorogo
Sikukataa kuwa mkubwa ila nilikataa kuwa ni mbaya sana.Sasa ulikuwa unakataa nini?
Mke mkubwa sana.
Kampita almost 9 yrs
Weupe naona unastili wanaume wenyewe ndio wanatuaminishi weupe ndio uzuri.Labda.
Ila sie wadada tuna kasumba moja.
Mwanamke akiwa mweusi tunamuona mbaya.
Tumemezeshwa na mkorogo
Aaah jaman binamu unanifanya nijikojoleee, waah I nilijua mama ake mdogo ujue, mmmh ebu tumsaidie kaka etu bhanaSasa ulikuwa unakataa nini?
Mke mkubwa sana.
Kampita almost 9 yrs
Aaaah wee umeona binamu? Jaman niko pamoja na mama mkwee mmh yule mwanamke hapana jaman, kwenye picha anatisha kama zombie, live sijui itakuaje waaahInawezekana ni kweli, za chini ya capert ninasikia mama mkwe pia hakutegemea mkwe yule, alitegemea atakuwa toto moja la kimanga kwa uhandsome ule wa mwanaeπππ
Umeona eeeee.Inawezekana ni kweli, za chini ya capert ninasikia mama mkwe pia hakutegemea mkwe yule, alitegemea atakuwa toto moja la kimanga kwa uhandsome ule wa mwanaeπππ
Asa unamuona mzuri pale?Sikukataa kuwa mkubwa ila nilikataa kuwa ni mbaya sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]lohNamuona insta, jamaa handsome ila mke wake jaman sura kama kameza panya buku
Ndio maana tunajitoa kasoro.Weupe naona unastili wanaume wenyewe ndio wanatuaminishi weupe ndio uzuri.
ndio inavyotakiwa binamuNamuona insta, jamaa handsome ila mke wake jaman sura kama kameza panya buku
Au tumuendee kwa Bwaoja?Aaah jaman binamu unanifanya nijikojoleee, waah I nilijua mama ake mdogo ujue, mmmh ebu tumsaidie kaka etu bhana
Rangi ya kahawa ndio yenyeweNdio maana tunajitoa kasoro.
Mie nipo kama chungu cha uganga.
Na najikubali hivohivo.