shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,799
- 4,312
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] nikaanzishe thread ya kuchangisha hela kukutolea mdhamana kwa kumkashifu mtukufuBinamu mke wake unamjua?? Yan huwez amin, utadhan mama ake mdogo, mweusi kama magufuli uson sasa utadhan mugabe
haaaa mie mwenyewe mara ya kwanza nilishtuka kwakweli.....Aaah wee kaweka private?? Halafu nimemfollow naona akinijua ataniblock kabisa, aaah kwan mke wake binamu humjui?? Mmh jaman tuseme ukweli tu pale kaka mkubwa alibugi jaman
Meona eeeeRangi ya kahawa ndio yenyewe
nasemea hao wanajipiga deki.
haaa naona hii thread itamfanya afute hata zile mbili zilizopo kule....Au tumuendee kwa Bwaoja?
Tukaichimbue hirizi yake pale mlangoni kwao?
Afu umeona....kasafiri nae mara 2 ty.
Afu mbona hapendi kumuweka weka katika pic zake?
Ndo wake huyooo..hakushikiwa panga.
Ebu sema wewe binamu, nikisema mm ntaambiwa warumi mbea, waaah mi nilijua dada ake au mama ake mdogo, nikashangaa anasema mama watoto, warumi nilivyokua mbea nikam inbox nikamwambia mke wako mzur waaahhaaaa mie mwenyewe mara ya kwanza nilishtuka kwakweli.....
nikajua labda dada yake vile vya undugu
Mwenzangu afute tu, sio kutudhalilisha kule, mtu msomi then handsome anatuletea kitu gan c bora angemuoa tunda tuhaaa naona hii thread itamfanya afute hata zile mbili zilizopo kule....
Aaaaarh warumi bwanaa, na assume unatania ndugu yangu.Mwenzangu afute tu, sio kutudhalilisha kule, mtu msomi then handsome anatuletea kitu gan c bora angemuoa tunda tu
Alikuwa anaitwa nani?Hiyo ilikuwa radio One checki Video ya huo wimbo hapa ↓
Mie mbona naijua moja tu?haaa naona hii thread itamfanya afute hata zile mbili zilizopo kule....
Tunda anagawa tigo ndio maana eti kutwa anaachwa.Mwenzangu afute tu, sio kutudhalilisha kule, mtu msomi then handsome anatuletea kitu gan c bora angemuoa tunda tu
Kanapenda kula na hakanenepi, huyu anayempa jeuri mpaka tumkomeshe angalau aamie kwa binamu yangu dinazarde na yeye ale bata kidogo mfyuuTunda anagawa tigo ndio maana eti kutwa anaachwa.
Afu nani anampa jeuri ya pesa mjini?
Nasikia anakaa kwa apartment ya dola 500 kwa mwezi.
Ila ndo kanapenda kula kama mfugo.
Waah, usiniambie binamu? Ndio maana siku hiz dinazarde haishiwi mapozi, ukimtumia pm hajibu, Ana mashauzi utadhan aliambiwa ataingia mbinguni mfyuuu, kumbe ndo mchepuko wa jux? Kesho namuanzishia thread manina zaksKwani Dinazarde kaachana na Jux?
Mbea mie nakupa habari.......ndukiiiiiii!!!!
Muanzishie babu weeee....kwani sh ngapi!!!!Waah, usiniambie binamu? Ndio maana siku hiz dinazarde haishiwi mapozi, ukimtumia pm hajibu, Ana mashauzi utadhan aliambiwa ataingia mbinguni mfyuuu, kumbe ndo mchepuko wa jux? Kesho namuanzishia thread manina zaks
Jamaa alikuwa anagonga mtoto wa Kipozi nafikiri,kuna kichupa kimoja cha unique sisters ZAIDI YAKO nilimuona ameuza NYAGO.View attachment 401738
yeah yuko NBC
Aiseeeeee kweli beauty is in the eye of beholder, nikimcheck yule mke wake alivyo aiseeeee lazima alipumbazwaaa kijana eddy, inakuwaje Jamaa kaiweka fasta private account yake ya insta.anatumia edd_mhina
keshaweka private account yake. itakua kasoma comment ya binamu lol
Long time sanaNakumbuka kawimbo kale
Watoto wasafi moyoni
Ni nyota na nuru kwa wazazi.....