Isike Moses
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,789
- 4,245
MkuuAiseeeeee kweli beauty is in the eye of beholder, nikimcheck yule mke wake alivyo aiseeeee lazima alipumbazwaaa kijana eddy, inakuwaje Jamaa kaiweka fasta private account yake ya insta.
Sioni sbb ya udini imewafanya hvo maana eddy namkuta mara nyingi rhapsody,east24, samaki etc akigigida heiniken aisee this shows jamaa si mtu wa dini kivileMkuu
Mtazame Eddy katika paji la uso kisha mtazame mkewe kimavazi..... You will find out why wamefikia hatua ya kuwa mke na mume....
Ha ha ha simjui binamu hebu uweke kapicha basiBinamu mke wake unamjua?? Yan huwez amin, utadhan mama ake mdogo, mweusi kama magufuli uson sasa utadhan mugabe
Unaweza kuta ni trip moja bar moja masjid... I only know that woman.Sioni sbb ya udini imewafanya hvo maana eddy namkuta mara nyingi rhapsody,east24, samaki etc akigigida heiniken aisee this shows jamaa si mtu wa dini kivile
Yaaah kitambo sana mkuuLong time sana
Ahsante sana kwa kunifanya nikumbuke mbali sanaHiyo ilikuwa radio One checki Video ya huo wimbo hapa ↓
Haha [emoji23] haha [emoji23] haha [emoji23] haha [emoji23]Heheheheh kama sivyo, waweza kuta ni mmoja wana jamiiforum humu atajishangaa kujiona
Hapo ndo Utajua nguvu ya Jamiiforums. watu kibao wanapitia huku kuchungulia wats going on.?Aiseeeeee kweli beauty is in the eye of beholder, nikimcheck yule mke wake alivyo aiseeeee lazima alipumbazwaaa kijana eddy, inakuwaje Jamaa kaiweka fasta private account yake ya insta.
Ishawekwa mamiiHa ha ha simjui binamu hebu uweke kapicha basi
Cc Evelyn Salt[emoji15][emoji30]
Ha ha ha ha dah mie sisemi kitu
Hata mimi chichemi kwakweli.Ha ha ha ha dah mie sisemi kitu
Masjid tunaonana sema sio conservative kivileUnaweza kuta ni trip moja bar moja masjid... I only know that woman.
huyo sio mtoto tena ni mkubwa sasa atakuwa anagonga kwenye 40samsingi au More
Yesu Yesu Yesu Yesu Yesu Yesu Yesu Yesu!!!!!!!!Namuona insta, jamaa handsome ila mke wake jaman sura kama kameza panya buku