MATHIAS KABYEMERA
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 1,793
- 572
Hata huko watu wanajiuliza alipo!Nenda kwenye gugo labda utampata
Kisiwa cha SikriKama ni utunzi wa hadithi, namkumbuka sana Edie Ganzel. Sina uhakika kama ana uhusiano na Stanley Ganzel wa TBC ila hadithi yake ya “SIKUWA FUKARA” naikumbuka sana. Nikiona wanavyotahabika wanufaika wa serikali za awamu ya pili hadi nne, waliofutwa vyeti feki, waliotumbuliwa n.k, natamani hadithi hii ichapishwe upya.
Bonge la riwayaZubaa uzikwe dereva mark chenje anatembea na mkwanja wote huku watu waloshughulika wakila mvua. Mark anafungua mradi mkubwa wa hotel ya Bambush
Nlisoma hiyo riwaya yake ilikua ya kusisimua sanaMsako wa hayawani
Ha ha ha ha sio Wahenga wa kati ni wahenga tu!KWA MUNGU MBALI bonge la hadithi.
Wahenga wa kati tupo wengi kumbe humu.
Ile story balaaa...Zubaa uzikwe dereva mark chenje anatembea na mkwanja wote huku watu waloshughulika wakila mvua. Mark anafungua mradi mkubwa wa hotel ya Bambush
Kabisa tena unaomba copy right tuu, yaani vile vitabu ni vitamu sanaWatanzania siyo wabunifu kabisaa...hadith za zamani waweza tengeneza movie nzuri sana