MATHIAS KABYEMERA
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 1,793
- 572
Kama ni utunzi wa hadithi, namkumbuka sana Edie Ganzel. Sina uhakika kama ana uhusiano na Stanley Ganzel wa TBC ila hadithi yake ya “SIKUWA FUKARA” naikumbuka sana. Nikiona wanavyotahabika wanufaika wa serikali za awamu ya pili hadi nne, waliofutwa vyeti feki, waliotumbuliwa n.k, natamani hadithi hii ichapishwe upya.