[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]Haha ingekuwa ni mwanaume ungesikia wee acha use*** nenda jukwaa la Tech, Gadgets acha uvivu kijana ndiyo jibu angejibiwa mwanaume!
Uwa naupenda sana huu wimboChanganya Changanyaaaaaaaaaaaaa..........changanya changanyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Wimbo mzuri sana na hata Video yake Lulu ameshirikishwa
Samahani Mkuu naomba unikumbushe kidogo kuhusu Reen LamiraDuhhh game LA bongo flavour lina historia ndefu...mpeni tu credits zake jide maana kwa kuwa wapo waliokuwa na vipaji zaidi yake kama enika na wakapotea...
Wengine ni kama Renee lamira, stara Thomas , farida ,ray c , k Lynn , Jackie Marie etc....
Ngoma yake ya Baridi kama hii hadi leo hii naikubali sana.
Ile bit nadhani iligongwa na marehemu Roy.
Sister flani wa kitambo aliyesumbua hadi katika tuzo za kora....Samahani Mkuu naomba unikumbushe kidogo kuhusu Reen Lamira
Duhhh game LA bongo flavour lina historia ndefu...mpeni tu credits zake jide maana kwa kuwa wapo waliokuwa na vipaji zaidi yake kama enika na wakapotea...
Wengine ni kama Renee lamira, stara Thomas , farida ,ray c , k Lynn , Jackie Marie etc....
Alitisha aisee! Inabidi afanye kitu nyingine tuendelee mkumbukaNimemkumbuka tu alivopita vizuri kwenye chorus ya N2N Hawatuwezi
Renee duuh muda hajasikikaDuhhh game LA bongo flavour lina historia ndefu...mpeni tu credits zake jide maana kwa kuwa wapo waliokuwa na vipaji zaidi yake kama enika na wakapotea...
Wengine ni kama Renee lamira, stara Thomas , farida ,ray c , k Lynn , Jackie Marie etc....
Hahah Mkuu umetoka ISELAMAGAZI nini? Kwani kugonga beat we umeelewa maana yake ni nini? HahahWe tema mate pembeni Roy alikuwa kaka yake wa damu aisee
Visual lab (sasa hivi inatwa next level)huyu hapa nimempata
Hahaha, watu wanawazaga mananihii tuu yaani [emoji38]Hahah Mkuu umetoka ISELAMAGAZI nini? Kwani kugonga beat we umeelewa maana yake ni nini? Hahah
You've said it all.Mziki bila show haulipi. Wateja wenyewe mmejikita ku burn CD na kudownload pirated copies (music), biashara itatoka wapi?
Yeah roy ndio alitengeneza, na sio ile tu, hata ngoma ya kwanza ya mr. blue (blue blue)We tema mate pembeni Roy alikuwa kaka yake wa damu aisee
Roy alifariki?Ngoma yake ya Baridi kama hii hadi leo hii naikubali sana.
Ile bit nadhani iligongwa na marehemu Roy.
Dah kitambo sanaRoy alifariki?
Aoseeee
Ni mtu Muungwana tu katoa msaada hapana mbaya.Ama kweli mwanaume kwa demu ni kama mfupa kwa fisi.
Nani huyo.?Ni mtu Muungwana tu katoa msaada hapana mbaya.
Poleni jamaniDah kitambo sana
2008