Yupo wapi Enika yule dada mwenye sauti adimu?

Yupo wapi Enika yule dada mwenye sauti adimu?

Haha ingekuwa ni mwanaume ungesikia wee acha use*** nenda jukwaa la Tech, Gadgets acha uvivu kijana ndiyo jibu angejibiwa mwanaume!
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]

Uanaume kazii
Yaan ningeuliza kama mimi hivi una pewa na matusi juu
 
Changanya Changanyaaaaaaaaaaaaa..........changanya changanyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Wimbo mzuri sana na hata Video yake Lulu ameshirikishwa
Uwa naupenda sana huu wimbo

Actually nlikuwa nadhan mwimbaji alikwisha aga dunia pengine
 
Baridi kama hii,nmekubamba..huyu dada balaaa
Kuna song alishilikiswa na makamua wa wakali kwanza..aliimb saut ya ajabu matata sanaaaa
 
Duhhh game LA bongo flavour lina historia ndefu...mpeni tu credits zake jide maana kwa kuwa wapo waliokuwa na vipaji zaidi yake kama enika na wakapotea...

Wengine ni kama Renee lamira, stara Thomas , farida ,ray c , k Lynn , Jackie Marie etc....
Samahani Mkuu naomba unikumbushe kidogo kuhusu Reen Lamira
 
Samahani Mkuu naomba unikumbushe kidogo kuhusu Reen Lamira
Sister flani wa kitambo aliyesumbua hadi katika tuzo za kora....

Nyimbo zake zilizobamba ni ngoma za kwetu, fitina na ondoka
 
Duhhh game LA bongo flavour lina historia ndefu...mpeni tu credits zake jide maana kwa kuwa wapo waliokuwa na vipaji zaidi yake kama enika na wakapotea...

Wengine ni kama Renee lamira, stara Thomas , farida ,ray c , k Lynn , Jackie Marie etc....

Maunda Zorro, Mwasiti, Linah, Recho, Rubby (naye anaelekea kupotea baada ya singo 2), ambaye bado anajipima ubavu ni Vannesa Mdee, ngoja tuone kama miaka mitatu ijayo atakuwepo kwenye ramani, maana kuna tetesi kaanza kula yale makitu
 
Duhhh game LA bongo flavour lina historia ndefu...mpeni tu credits zake jide maana kwa kuwa wapo waliokuwa na vipaji zaidi yake kama enika na wakapotea...

Wengine ni kama Renee lamira, stara Thomas , farida ,ray c , k Lynn , Jackie Marie etc....
Renee duuh muda hajasikika
 
huyu hapa nimempata

Visual lab (sasa hivi inatwa next level)

Ths guys ni wazamani kweli, na wamekua wakijitahidi tokea zamani, ila kipindi flani, kuna hawa jamaa wa Kallaghe's picture wLofanya vizuri, visual lab ikawa haioni ndani, sijui what happened to them.

Hizi nyimbo zinanikumhusha mbali sana ...
 
Hahah Mkuu umetoka ISELAMAGAZI nini? Kwani kugonga beat we umeelewa maana yake ni nini? Hahah
Hahaha, watu wanawazaga mananihii tuu yaani [emoji38]
Nadhani alikua anawaza mananihii yale
 
We tema mate pembeni Roy alikuwa kaka yake wa damu aisee
Yeah roy ndio alitengeneza, na sio ile tu, hata ngoma ya kwanza ya mr. blue (blue blue)
Matonya na noorah, those days walikua ni under-grounds.
 
Back
Top Bottom