Yupo wapi jf member BAK ?

Yupo wapi jf member BAK ?

Hajar rafiki kwema huko?? Kitambo kidogo rafiki miss you

cc Smart911
Uuwiii rafiki umejua kunikumbuka siku ambayo ndio nimeingia nichungulie yaliyomo baada ya muda mrefu kidogo.

Kwema kabisa rafiki wa mie. Nipo rafiki yangu ila kweli nilipotea kidogo humu si wajua tena Mapambano ya maisha.

miss you too rafiki. Mzima weye?
 
Mungu ni mwema rafiki kwakweli nafurahi kukuona

cc Smart911
 
Yuko kule Kenya Talk mbona. Nenda tu kule utamuona anajiita BAK1
 
BAK yupo Kenya Talk tangu JF irudi hewani amekuwa mtu wa tahadhari sana na ili Jukwaa hata kama yupo basi Atakuwa na ID mpya kwa ajili ya kusoma tu posts mana Wakongwe maisha hayaendi bila kuperuzi Jamvi letu hili
 
Back
Top Bottom