Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uuwiii rafiki umejua kunikumbuka siku ambayo ndio nimeingia nichungulie yaliyomo baada ya muda mrefu kidogo.
Umewaza vema, liwepo jukwaa la kuwaona wenye ban!Tungekuwa tuna uwezo wa kuangalia watu waliopo kifungoni yaan BAN tungeenda sero namba saba tukaita jina lake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uuwiii rafiki umejua kunikumbuka siku ambayo ndio nimeingia nichungulie yaliyomo baada ya muda mrefu kidogo.
Kwema kabisa rafiki wa mie. Nipo rafiki yangu ila kweli nilipotea kidogo humu si wajua tena Mapambano ya maisha.
miss you too rafiki. Mzima weye?
Hakika. Nami pia nimefurahi mno rafiki.
Nipo Tanzania
Nikajua labda umehojiwa uraia wako maana ulikua kimyaNipo Tanzania
hapana nipo okay sina tatizo na mtuNikajua labda umehojiwa uraia wako maana ulikua kimya