Yupo wapi Kali P?

"wakati tupo kituoni tukawa hatuna mapene mfukoni,tukaiba virungu vya polisi,tukaenda kuuza kwa mama ntilie apikie msosi yule mwasibu wetu akatupa kesi,"[emoji23]
Nikisikiaga nyimbo zake nakumbuka enzi niko sekondari form 2[emoji3][emoji3], hawa jamaa walituburudisha sana, ila nasikitika hatukuwapa hela, tumewapa majina na umaskini
 
Mkuu,umesema ukweli kabisa
Mtu kama kali p alitakiwa kuwa tajiri kama tungekuwa na mifumo kama ya nchi za wenzetu
Tazama kina kelvin hart,mr bean walivo
 
Akapelekwa jela wale wafungwa wakaanza kuimba "mwali mwali mwali mwalii[emoji2][emoji2][emoji2]

Kwavile yeye alikuwa mbishi wakamwachia aisee wewe nilijua kaz ya upolisi ni yangu peke angu nikifa nitazikwa na magwada yangu kuanzia leo mimi sio polisi tena[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nalewa chakari mapaka naangusha gari,maafande wenzangu wakawa wananitania afande cha pombe utapasuliwa mayai ulihaibishe jeshi la polisi,nikawa mbishi nataka nipasuliwe matatu na chips nusu.
 
Huyu jamaaa nampenda sana kwanza anaimba kwa uhalisia sana
 
Nalewa chakari mapaka naangusha gari,maafande wenzangu wakawa wananitania afande cha pombe utapasuliwa mayai ulihaibishe jeshi la polisi,nikawa mbishi nataka nipasuliwe matatu na chips nusu.

[emoji23][emoji23]huyu jamaa noma nacheka sana nikisoma hiz nyimbo zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…