Yupo wapi Lizaboni,Fayza fox na Ritz?

Yupo wapi Lizaboni,Fayza fox na Ritz?

Wanapambana na hali zao.

Wewe si umeona jamaa wanakipigania chama halafu wanaopewa Uwaziri ni akina Shonza! Inauma ati!

Labda wasubiri mpaka 2025...Lakini by then hata technology itakuwa imeshabadirika kwa hiyo itabidi tuu wakakamate mashamba wakalime matikiti Morogoro. Hakuna namna. Ngosha siyo kabisa!
Huo ni ushauri mzuri sana ila kwa Fayza sidhani kama ataweza kushika jembe maana alisha zoeshwa vya bureeee
 
Muhimu! Si unajua tena tumeshikwa kooni na mkoloni mweusi mwenye chembe chembe za ukabila na chuki kubwa kwa wapinzani?
Poleni sana wenzenu tulisha yazoea mimi nitapita hapo kwa nje kamata labda naweza kutoa mchango wangu wa kukuwekea dhamana
 
Back
Top Bottom