Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
- Thread starter
- #21
Huo ni ushauri mzuri sana ila kwa Fayza sidhani kama ataweza kushika jembe maana alisha zoeshwa vya bureeeeWanapambana na hali zao.
Wewe si umeona jamaa wanakipigania chama halafu wanaopewa Uwaziri ni akina Shonza! Inauma ati!
Labda wasubiri mpaka 2025...Lakini by then hata technology itakuwa imeshabadirika kwa hiyo itabidi tuu wakakamate mashamba wakalime matikiti Morogoro. Hakuna namna. Ngosha siyo kabisa!