Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,490
- 8,227
Ok mkuu! nilipitiwaAzam Amecheza Na Polisi Tz
Tangia wachezaji, benchi la ufundi na Viongozi wagombane kisa Mgao wa million 23 kama sio 14...Bakharesa ile PESA anayowekeza pale Azam fc bora angetafuta pisi Kali atombee TU
Kuliko ujinga wanaofanya hao aliowaweka waongoze timu
Jamaa alisifiwa sana! Alipambwa kila aina ya maua! Yenye kila rangi! Tukajua mbio za ubingwa ameongezeka mwanaume wa 3! Lakin sasa mambo yamekua tofaut! Namzungumzia kocha Amolin wa azam! katka game 2 zilizopita kaambulia point 1 tena hakupata goal lolote! na mpaka muda huu tunaingia mitamboni ni mapumziko dhidi ya dodoma jiji na ametanguliwa goal 1! naona ya lwandamina yanaenda kumkumba master lecture wetu! tatzo nini chamazini?
Tangia wachezaji, benchi la ufundi na Viongozi wagombane kisa Mgao wa million 23 kama sio 14...
Nikajua kuwa Azam hapana pesa pale, umejaa ubahili mtupu....
Ukiondoa miundombinu, Azam anasafari ndefu bado.
Aaf wakiitwa wachambuzi wamwendo kasi panachimbikaAlisifiwa sana na wachambuzi wetu. Yani hawakutaka hata kumpa muda ili wampime fairly.
Naunga mkono hoja. Wakasome
Police Tanzania siyo Dodoma Jiji mkuuJamaa alisifiwa sana! Alipambwa kila aina ya maua! Yenye kila rangi! Tukajua mbio za ubingwa ameongezeka mwanaume wa 3! Lakin sasa mambo yamekua tofaut! Namzungumzia kocha Amolin wa azam! katka game 2 zilizopita kaambulia point 1 tena hakupata goal lolote! na mpaka muda huu tunaingia mitamboni ni mapumziko dhidi ya dodoma jiji na ametanguliwa goal 1! naona ya lwandamina yanaenda kumkumba master lecture wetu! tatzo nini chamazini?
Hilo liko wazi maisha yako Simba ikifuatiwa na Yanga ndio inakuja azamNaskia Chirwa aliwahi kukili kuwa kuna maisha Yanga kuliko Azam
Aliyebuni aicecream za ukwaju ana akili kuliko viongizi wote wa azam fcBakharesa ile PESA anayowekeza pale Azam fc bora angetafuta pisi Kali atombee TU
Kuliko ujinga wanaofanya hao aliowaweka waongoze timu