Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,490
- 8,227
Jamaa alisifiwa sana! Alipambwa kila aina ya maua! Yenye kila rangi! Tukajua mbio za ubingwa ameongezeka mwanaume wa 3! Lakin sasa mambo yamekua tofaut! Namzungumzia kocha Amolin wa azam! katka game 2 zilizopita kaambulia point 1 tena hakupata goal lolote! na mpaka muda huu tunaingia mitamboni ni mapumziko dhidi ya dodoma jiji na ametanguliwa goal 1! naona ya lwandamina yanaenda kumkumba master lecture wetu! tatzo nini chamazini?