Yupo wapi master lecture?

Yupo wapi master lecture?

Pettymagambo

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2017
Posts
1,490
Reaction score
8,227
Jamaa alisifiwa sana! Alipambwa kila aina ya maua! Yenye kila rangi! Tukajua mbio za ubingwa ameongezeka mwanaume wa 3! Lakin sasa mambo yamekua tofaut! Namzungumzia kocha Amolin wa azam! katka game 2 zilizopita kaambulia point 1 tena hakupata goal lolote! na mpaka muda huu tunaingia mitamboni ni mapumziko dhidi ya dodoma jiji na ametanguliwa goal 1! naona ya lwandamina yanaenda kumkumba master lecture wetu! tatzo nini chamazini?
 
Naona wanatunza nguvu kwa ajili ya mechi na Yanga. Siku hiyo kila mchezaji atajituma kweli kweli. Yaani Polisi wamejipigia tu kibonde wao! Tena kwenye uwanja wake wa nyumbani.
 
Bakharesa ile PESA anayowekeza pale Azam fc bora angetafuta pisi Kali atombee TU

Kuliko ujinga wanaofanya hao aliowaweka waongoze timu
 
Tangia wachezaji, benchi la ufundi na Viongozi wagombane kisa Mgao wa million 23 kama sio 14...
Nikajua kuwa Azam hapana pesa pale, umejaa ubahili mtupu....
Ukiondoa miundombinu, Azam anasafari ndefu bado.
 
Alisifiwa sana na wachambuzi wetu. Yani hawakutaka hata kumpa muda ili wampime fairly.
Naunga mkono hoja. Wakasome
Jamaa alisifiwa sana! Alipambwa kila aina ya maua! Yenye kila rangi! Tukajua mbio za ubingwa ameongezeka mwanaume wa 3! Lakin sasa mambo yamekua tofaut! Namzungumzia kocha Amolin wa azam! katka game 2 zilizopita kaambulia point 1 tena hakupata goal lolote! na mpaka muda huu tunaingia mitamboni ni mapumziko dhidi ya dodoma jiji na ametanguliwa goal 1! naona ya lwandamina yanaenda kumkumba master lecture wetu! tatzo nini chamazini?
 
Naskia Chirwa aliwahi kukili kuwa kuna maisha Yanga kuliko Azam
Tangia wachezaji, benchi la ufundi na Viongozi wagombane kisa Mgao wa million 23 kama sio 14...
Nikajua kuwa Azam hapana pesa pale, umejaa ubahili mtupu....
Ukiondoa miundombinu, Azam anasafari ndefu bado.
 
Azam ni Simba B na Yanga B hubadilika kulingana na wakati.
 
Jamaa alisifiwa sana! Alipambwa kila aina ya maua! Yenye kila rangi! Tukajua mbio za ubingwa ameongezeka mwanaume wa 3! Lakin sasa mambo yamekua tofaut! Namzungumzia kocha Amolin wa azam! katka game 2 zilizopita kaambulia point 1 tena hakupata goal lolote! na mpaka muda huu tunaingia mitamboni ni mapumziko dhidi ya dodoma jiji na ametanguliwa goal 1! naona ya lwandamina yanaenda kumkumba master lecture wetu! tatzo nini chamazini?
Police Tanzania siyo Dodoma Jiji mkuu
 
Back
Top Bottom