Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Ni mbunge tangu 2020Hivi sio rc mahali? Kama sikosei basi ana ka uwaziri fulani
SI alikua RC NJOMBENi mbunge tangu 2020
Kaunga juhudiKwa Bunge hili wamekuwepo wabunge wa CCM waliojaribu kuongea ukweli ktk Bunge lisilo na upinzani. Baadhi yao ni Mipina, Gwajima, Sendeka nk.
Mbunge Christopher Ole Sendeka haonekani Bungeni kwa muda sasa.
Yupo wapi?
Magufuli alimtengua na Makonda walipotia nia kugombea UbungeSI alikua RC NJOMBE
Yupo Antony Mtaka saiviSI alikua RC NJOMBE
Darasani alikuwaje?Classmate
Classmate yupo, hata juzi kati nilimuona mjengoni katulia tu.Ni mbunge ila haonekani kabisa bungeni
Ndiyo najiuliza yupo wapi, huwa ni machachari akiwepu Bungeni, utajua tu.Ni mbunge ila haonekani kabisa bungeni
Huyu kutokuwepo kwake unaweza kuhisi ni kwanini. Kinyongo cha kulazimishwa kujiuzulu.Job Ndugai mbunge wa Kongwa pia haonekani kbs
Mbona ndani ya Bunge haonekaniYupo katulia anapima upepo wa kisiasa unavyo elekea
NahisiTeam jiwe wameufyata