Yupo wapi Mbunge Christopher Ole Sendeka?

Yupo wapi Mbunge Christopher Ole Sendeka?

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Kwa Bunge hili wamekuwepo wabunge wa CCM waliojaribu kuongea ukweli ktk Bunge lisilo na upinzani. Baadhi yao ni Mipina, Gwajima, Sendeka nk.

Mbunge Christopher Ole Sendeka haonekani Bungeni kwa muda sasa.
Yupo wapi?
 
Kaunga juhudi
 
Yupo katulia anapima upepo wa kisiasa unavyo elekea
 
Ni mbunge ila haonekani kabisa bungeni
Classmate yupo, hata juzi kati nilimuona mjengoni katulia tu.
Nadhani ukimya wake unaashiria kuna mambo anaona hayaendi sawa na ndiomaana amechagua kukaa kimya kama Bashiru
 
Back
Top Bottom