Yupo wapi Mponjoli Malakasuka?

Yupo wapi Mponjoli Malakasuka?

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
Umofia Kwenu wana JF,kwanza nawapenda kuwatakia heri ya mwaka mpya wa 2014

Kuna jamaa mtajwa hapo juu alitikisa sana miaka ya 2007-2008 kwa utajiri wa hajabu,lakini nikaja kusikia kama alikamatwa na kufungwa huko UK mwaka 2008,vp ashatoka? au bado maana alipigwa nyundo nne tu!

"Among the success stories for the police is the near £900,000 seized from Walsall conman Mponjoli Malakasuka (pictured) who has been stealing and exporting high powered luxury cars.

Malakasuka, aged 36, from the Yew Tree
estate, was ordered to pay back the money in one month or face an additional four years in jail. He was originally sentenced to three-and-a-half years in July 2008 for conspiracy to steal.

Malakasuka had used a variety of
sophisticated methods to steal prestige
vehicles which he then exported out of the UK to Tanzania and Kenya. The cars were stolen both through car key burglaries and a variety of identity fraud and fake hire purchase agreements.

The cars included Mercedes Benz S320 CDi and Porsche Cayenne cars. In all over
£300,000-worth of vehicles were stolen.

At the time of his arrest police discovered
Malakasuka to be living a life of luxury in
his four-bed house."

========
========

Source: Police recoup £1.4m from criminals in last two weeks as war on crime profits gathers pace
 
huyu jamaa ni kweli au uzushi,eti kafungwa tena,Uingereza kwa kubeba au kuwa mastermind wa kubeba unga??????
 
huyu jamaa ni kweli au uzushi,eti kafungwa tena,Uingereza kwa kubeba au kuwa mastermind wa kubeba unga??????
Hivi huyu jamaa ni kweli alitoka baada ya ile issue ya magari ?

Na hii ya unga ni uzushi au kwa hii biashara pia yupo ?, kuna kipindi nilisikia yupo Marekani ila kama alikimbia huko na kuja UK imekuwaje tena arudi huko ?

Ila jamaa lazima kuna watu wenye nguvu behind
 
Huyu jamaa hakusoma sang sec Mbeya kweli?
 
Muulizeni Mh. Joseph Mbilinyi aka SUGU ndio mdhamini wake mkubwa kwenye mambo yake ya Siasa
 
Kila Jambo na Wakati wake Ma Conman mwisho wao umeshafika,wote mapedejhee hawasikiki kabisa.
 
Kama Sugu anadhaminiwa na muuza unga,then hii ni mbaya kisiasa.

Hii si sawa. Mponjoli anaweza alifanya mambo mengi, lakini nyingi ni shutuma ni shutuma nyepesi sana. Mponjoli ni mtu smart sana, na ni mpambanaji sn. kwa jinsi wazungu walivyo smart kwenye criminology na finger prints, mponjoli asingerudi UK maisha yake yote. lakini pia hata USA asingerudi kamwe. kwa nijuavyo arirudi UK, then akaenda zake USA kuendelea na maisha yake. huyu mtu ni mtu ana upendo na haiba sn kwa watu. tafuta mtu anaemfahamu vzr atakwambia. kasaidia watu wengi sana. kumpa shutuma za sembe, nafikiri si sawa kabisa.
 
Yupo Wapi Siku Hizi?
 
Du Jamaa Mpiganaji sana karudi tena state!! SAFI SANA BORA ANAVYWAPIGA WAZUNGU.

i love the Dude Bro. mtz yoyote akiendaga kule anamsaidia, juzi kuna brother alienda huko akawa ananisimulia, jamaa ilibidi amwazime jina lake akampatia kazi. alifanikiwa na akapiga dolali nyingi tyu,
 
Duh..JF imetoka mbali sana. Huyu bwana sijui aliishia wapi...days fly jamani!
 
Back
Top Bottom