Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Nilikuwa nasikia redioni hata kabla ya kusikia baadae kuwa ameenda kusoma form five huko Tabora. Mi hata sura yake siijuiHuyo msanii alirecord hizo nyimbo au aliimba mbele ya wanafunzi wenzio wa Tabora girls(Waoso) ?
Yupo anaishi hapa DSM ameolewa na msanii mwenzie wa hiphop aliyekuwa anaitwa ROHO SABAHabari zenu jukwaa la celebrities. Niende kwenye mada hapo juu. Miaka ya mwanzo ya 2000, alikuwepo Msanii mwanafunzi wa secondary ya Wasichana Tabora aitwaye Farida Koshuma. Alikuwa na wimbo uitwao Ofisa au PESA. Akisifia pesa kipindi hicho na sauti nyororo kwelikweli. Nina muda mrefu sijamsikia Msanii huyu na sijui yupo wapi na anafanya nini. Pia sielewi baada ya kumaliza form six kule Tabora alienda wapi. Kama pia yupo mwenye taarifa au picha zake arushie humu.
Ameacha muziki?Yupo anaishi hapa DSM ameolewa na msanii mwenzie wa hiphop aliyekuwa anaitwa ROHO SABA
Watu mna kumbukumbu ,,,nilikua form one enzi hizo
Yes ni lawyer wa bank moja hapa townAmeacha muziki?
sauti yake sasa...[emoji7]Huo wimbo wa PESA nakumbuka hata video alitoa. umenikumbusha mbali sana mkuu.
"ooooh pesa oooo pesa,
kila mtu anihitaji katika dunia ili itimizie mahitaji"[emoji443] [emoji446] kitambo sana![emoji3] [emoji3]
Yes ni lawyer wa bank moja hapa town
Na Roho7 kaacha muziki?Yes ni lawyer wa bank moja hapa town
ukiongelea rohosaba nakumbuka songi lake mola la waite polisi, ike kolasi hatari sana...Yupo anaishi hapa DSM ameolewa na msanii mwenzie wa hiphop aliyekuwa anaitwa ROHO SABA
Rohosaba mjedaNa Roho7 kaacha muziki?
Anafanya nini?
Waite Polisi...!! [emoji125] [emoji125][emoji61] [emoji61]Yupo anaishi hapa DSM ameolewa na msanii mwenzie wa hiphop aliyekuwa anaitwa ROHO SABA
Dogo hujambo?!Nakumbuka nilikua darasa la nne Mlimani primary school karibu na udasa
Hatariiii...! Hata kenyewe nilikuwa nakapenda tu! So cute![emoji7]sauti yake sasa...[emoji7]
Dogo aslay au dogo janja[emoji15]Dogo hujambo?!