Yupo wapi Msanii wa bongo fleva Farida Koshuma?

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Habari zenu jukwaa la celebrities. Niende kwenye mada hapo juu. Miaka ya mwanzo ya 2000, alikuwepo Msanii mwanafunzi wa secondary ya Wasichana Tabora aitwaye Farida Koshuma. Alikuwa na wimbo uitwao Ofisa au PESA. Akisifia pesa kipindi hicho na sauti nyororo kwelikweli. Nina muda mrefu sijamsikia Msanii huyu na sijui yupo wapi na anafanya nini. Pia sielewi baada ya kumaliza form six kule Tabora alienda wapi. Kama pia yupo mwenye taarifa au picha zake arushie humu.
 
Huyo msanii alirecord hizo nyimbo au aliimba mbele ya wanafunzi wenzio wa Tabora girls(Waoso) ?
 
Nilikuwa nasikia redioni hata kabla ya kusikia baadae kuwa ameenda kusoma form five huko Tabora. Mi hata sura yake siijui
 
Habari zenu jukwaa la celebrities. Niende kwenye mada hapo juu. Miaka ya mwanzo ya 2000, alikuwepo Msanii mwanafunzi wa secondary ya Wasichana Tabora aitwaye Farida Koshuma. Alikuwa na wimbo uitwao Ofisa au PESA. Akisifia pesa kipindi hicho na sauti nyororo kwelikweli. Nina muda mrefu sijamsikia Msanii huyu na sijui yupo wapi na anafanya nini. Pia sielewi baada ya kumaliza form six kule Tabora alienda wapi. Kama pia yupo mwenye taarifa au picha zake arushie humu.
Yupo anaishi hapa DSM ameolewa na msanii mwenzie wa hiphop aliyekuwa anaitwa ROHO SABA
 
Watu mna kumbukumbu ,,,nilikua form one enzi hizo
 
Huo wimbo wa PESA nakumbuka hata video alitoa. umenikumbusha mbali sana mkuu.
"ooooh pesa oooo pesa,
kila mtu anihitaji katika dunia ili itimizie mahitaji"[emoji443] [emoji446] kitambo sana![emoji3] [emoji3]
 
sauti yake sasa...[emoji7]
 
Back
Top Bottom