Yupo wapi mzee Makamba?

Yupo wapi mzee Makamba?

Hata wapumbavu huzeeka.
Halafu wakati mwingine unajiuliza haya mamjamaa mapuuzi puuzi yalipatapataje kuwa na nafasi kwenye chama na serikalini?!
Ina maana kipindi hicho hakukuwaga na vetting?!!
 
Siyo kawaida yake kuwa kimya namna hiyo hasa kwenye nyakati za SINTOFAHAMU kubwa nchini kama wakati huu wa suala la BANDARI.

Lakini, mzee Makamba ni kiongozi mstaafu ni wajibu wa Wananchi kufahamu alipo na anaendeleaje.

Wengi wetu tulitarajia waandishi wa habari kama ilivyo ada wangeshamfuata mzee wetu kwenda kutaka maoni yake.

Kwa ukimya huu usio wa kawaida, je, yupo wapi Makamba?!

NB: Usifurahie kifo cha binadamu mwenzako.
Yupo.
 
Alijinyea wazuri hawafi,tunasubiria aharishie mdomoni Tena ,bandari tayari wenye meno wamechukua nyie vibogoyo mtaweza kutafuna kidali mchanganyiko?
 
Back
Top Bottom