Yupo wapi Nargis Mohamed?

Yupo wapi Nargis Mohamed?

Kweli uzuri wa mtu upo machoni pa mtu, Nargis ni wa kawaida tu. Kuna cku nilikutana nae Kinondon B hospital nikashangaa nilivyokua namuona kwenye Picha tofauti na alivyo. Ana vichunusi flan ivi na hana shepu ni bapa flan ivi ingawa si sana ila ni mrefu sana hadi raha.
 
Mkuu ushakamata chambichambi nini..? Maana watu wakimata pesa wanaanza kuwatafuta watoto wakalee, waliko kwenye black list...anyway mcheki wepa mkuu huyo yuko available
 
Back
Top Bottom